Ujamaa ni mhimu
JF-Expert Member
- Sep 30, 2022
- 1,203
- 1,011
YESU MNAZARETI ALISHINDA KIFO NA MAUTI. HATA KESI YAKO AMEKUSHINDIA. AMEEEN
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
YESU MNAZARETI ALISHINDA KIFO NA MAUTI. HATA KESI YAKO AMEKUSHINDIA. AMEEEN
Nafikiri kukaa kwake ndani, kapoteza kumbukumbu ya muda. Miaka zaidi ya 3??!!
Wapi ametubu?Mangapi wewe unamkosea Mungu? Watu hukosea na hutubu wasamehewe Mungu husamehe.
Tunayaona makosa ya sabaya zaidi kuliko dhuluma zetu tunazozijua na kuzificha vifuani mwetu.
Usimpangie Mungu cha kufanya, hatujui anafahamu nini kuhusu Sabaya.
USSR
Mungu siyo Mbowe kiasi kwamba awe katiri kiasi hikoMungu huyo atakuwa mjinga kupambania majangili, wezi, wauwaji.
Mfanyabiasha Alex Swai kaporwa shilingi milioni 50, mahakama inaamuru mshitakiwa amlipe mfanyabiashara Elibariki Swai shilingi milioni 5!!!Aliyewahi Kuwa mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya amehukumiwa Kifungo cha Nje cha Mwaka mmoja baada ya kukiri makosa na kuomba mahakama imwangalie kwa jicho la huruma.
=======
Hivi Makonda yuko wapi? Hasikiki siku hizi!Ni jambo jema
HaswaaNow atakua mwalimu mzuri wa somo la karma
Karma mbona haimrudii Mbowe kwa kumuondoa Chacha Wangwe?USSR
Unaonyesha ulikua na TAGS na sabaya,
Ila for sure jamaa aliumiza sana watu wengi,
Ipo wazi ukiwa na wana Sheria wazuri wata kusaidia kushinda kesi Kwa kuangalia matobo ya kisheria katika kesi yako....
Ila
Karma iz bitch
Sawa Makonda, tumekusikia.Kwakweli leo nimefurahishwa na Serikali ya awamu ya sita.
Wapo makini sana na mambo yao.
Kudos.