Heart Wood.
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 982
- 1,179
Mbona hamkufanya hivyo mwanzoni!Kamwe hatayafurahia maisha
Kuna mahakama za mtaani
Judge ni nani
Mahakama zimejaa rushwa
Hauna huo ubavu mwananguUyo muhuni akitokea BEI za mafuta zitashuka? Tunataka Serikali iwajibike, wakishindwa tuwawajibishe
Mkuu, Utawala wa Haki Jinai Kwa Ujumla Umejikita Katika Kanuni Kuu Zifuatazo:-Serikali kwa mara nyingine ijitathmiini katika uwezo wa Idara na Taasisi zake kutayarisha kesi na mashahidi kwani zimefeli hivyo kushindwa ku-i-move Mahakama Kuu kuwa kulikuwa na kesi ya kusikilizwa kwa kutumia mizania ya kisheria.
Je tatizo ni kukosekana wanasheria wa serikali walioiva ? Je mfumo haki jinai (criminal justice system) yaani Polisi, TAKUKURU, DPP na Mahakama za chini zinakosa rasilimali watu wabobevu wa kuchunguza, kuandaa na kusikiliza tuhuma / kesi toka mwanzo wa mchakato mzima wa kutoa haki Au kesi hii ilikuwa kuna shindikizo?
Rufaa ya Ole Sabaya kutajwa Desemba 13
Jaji wa mahakama kuu amesema rufaa ya aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai kisha kusingiziwa ameiba simu aina ya Tecno na pesa laki tatu na sitini na kufungwa miaka 30 jela Lengai Sabaya itaanza kusikilizwa 13/12/2021 mfululizo mpaka haki itakapopatikana. === Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Butamo...www.jamiiforums.com
06 May 2022
Arusha, Tanzania
Hukumu ya Jaji Ezedekia Kisanya wa Mahakama Kuu ya Tanzania :
Mahakama Kuu Kanda ya Arusha imemuachia huru aliyekuwa DC wa Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wawili waliokuwa wamekata rufaa ya kupinga kuhukumiwa miaka 30 kwenda jela kila mmoja kwa sababu mbalimbali kwakuwa Mrufani namba mbili Silvester Nyegu na namba tatu Daniel Mbura hawakupewa haki ya kumhoji Shahidi namba mbili wa Jamhuri na kutokufanya hivyo kunawanyima haki yao msingi.
Jaji Ezedekia Kisanya amesema kulikuwa na mkanganyiko kwenye mwenendo wa usikilizwaji wa kesi hiyo ikiwemo kutofautiana kwa mashahidi na kuufanya ushahidi kuwa batili.
Jaji amesema Lengai Ole Sabaya na wenziwe, watakuwa huru endapo watakuwa hawana kesi nyingine kwenye Mahakama yoyote
Na kweli mpk mtu akaomba mahakam imuonee huruma Ni was kuwa Katenda jinai hyo Sasa huyu jaji alitoa sababu gani kumuachia huyu ndugu yangu 7ya..Sabaya alikiri kwa kinywa chake kwamba alihusika na makosa aliyokuwa akituhumiwa.
..utetezi wake ulikuwa kwamba alitumwa na wakubwa zake.
..Sasa inashangaza Jaji kumkuta mtuhumiwa wa aina hiyo hana hatia.
..Ndio maana nasisitiza ni vizuri tukaisoma hiyo hukumu ili kuelewa msingi wa maamuzi ya Jaji.
Cc Nguruvi3 , Proved, Matola
Wahuni na gaidi waliweza kuiwini serikali hadi ikamfunga General Lengai Ole Sabaya?Fitina za wahuni na gaidi.
Loohh... huna information ndugu. Ana kesi nyingine ya uhujumu uchumi ambayo haina dhamana na inasubiri hukumu tarehe 30 mwezi huu May. Amerudi ndani kusubiri hukumu hiyo. Baada ya hizi za Arusha, kuna kesi zinaandaliwa na TAKUKURU Kilimanjaro.Lakini Leo anaenda kuvunja amri ya sita na mkewe nyumbani kwake
Mkuu unachosema ni kweli kabisa kwamba watu waangalie hukumu inasema nini, kwa bahati mbaya zama hizi si zile za Mahakama tulizokuwa nazo...Sabaya alikiri kwa kinywa chake kwamba alihusika na makosa aliyokuwa akituhumiwa.
..utetezi wake ulikuwa kwamba alitumwa na wakubwa zake.
..Sasa inashangaza Jaji kumkuta mtuhumiwa wa aina hiyo hana hatia.
..Ndio maana nasisitiza ni vizuri tukaisoma hiyo hukumu ili kuelewa msingi wa maamuzi ya Jaji.
Proved, Matola
Wakati huo hakukua na 109, alimtia kwenye buti ya Peugeot 504.Tutafika tu. Kuna mmoja enzi za nyerere alimalizana na mbwa akamtia kwenye 109 yake akampeleka polisi akawambia Kuna mbwa kwenye gari
Aliowakata masikio
1yr onlyHauna huo ubavu mwanangu
Hatutayumbishwa na chama mfu ccmWe lofa huna kingine cha kuandika nenda Kanye.
Maana una kimba huko limekubana linaitwa katiba.
Wahi kalinye
Sishabikii huo upuzi. Hoja ni Bei za mafuta hayupo kiongozi wa kutatua. Tuitoe kafara CCM this time.Wewe mjinga mahakma ni huru kwenu tu! Juzi hapa makengeza kaachiwa mkaanza kushangilia! Punguza wenge mpuzi wewe!