Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KATIBA mpya ndo solution itakayoondoa UGONJWA mbaya unaoitwa CCMHao wajinga sana hawana ushahidi ushahidi wenyewe wa kuunga unga tu! Yani hakimu mwana chama CHADEMA ndo alitoa hukumu hiyo ya kijinga! Hongera sana Sabaya!
👆We umejifunza nini kwenye rufaa ya hii kesi?
Katiba mpya ndo solution, madaraka ya Rais ni makubwa mno, yapunguzwe. Tusihamishwe kirahsi kumjadili mtu mmoja, CCM wezi hawahesabiki sababu ya mfumo mbovu.Lengo ni kumtisha Lema asirudi Tanzania
Sheria za Tanzania ziko kwa ajili ya watu fulani, ukishakuwa kiongozi na kufanikisha unyama, huwezi kuzuiwa na sheria yoyote, ili mradi huna madhara kwa walioko madarakani.Sabaya ameshawahi kutiwa hatiani na kufungwa hivyo amepoteza sifa ya kuwa kiongozi wa umma.
Ule ni mhimili huru.Mkuu uko serious kwamba mahakama zetu zinatenda haki?
Waziri wa nishati ajiuzulu. Hana majibu yanayoeleweka juu ya kupanda Bei za mafuta. Msituhamishe magoli tumestuka.Sio nandy tu, Bavicha walisema sabaya aliwabaka.
Hivyo ndio inavyotakiwa iwe, lakini kuna ilivyo. Hamna kitu pale kaka kwa sasa.Ule ni mhimili huru.
Wanapoza presha ya mafuta kupanda Bei Kwa kumuachia uyo muhuni. Bunge liiwajibishe SERIKALI na wizara. Wakishindwa wote watupishe.Hii hukumu imepokelewa vibaya sana,kwakweli tunahitaji Katiba Mpya.
Alikuwa gereza la kisongo, sio vacation
Wote wamelia si unawajua wakina mama [emoji1787]Na mchumba ake hajalia?
Akiachiwa gaidi ndio zipo huruMkuu uko serious kwamba mahakama zetu zinatenda haki?
Uyo muhuni akitokea BEI za mafuta zitashuka? Tunataka Serikali iwajibike, wakishindwa tuwawajibisheWe thank God for him.
Basi aache ubaya
Ilikuwa ni mbinu ya wauza ungar.Mambo ya kijinga kabisa
Wewe mjinga mahakma ni huru kwenu tu! Juzi hapa makengeza kaachiwa mkaanza kushangilia! Punguza wenge mpuzi wewe!Wanapoza presha ya mafuta kupanda Bei Kwa kumuachia uyo muhuni. Bunge liiwajibishe SERIKALI na wizara. Wakishindwa wote watupishe.
Samia ndo nani? Ye mwenye alilishwa matango pori tu anakurupuka kumfukuza sabaya ukuu wilaya! Kwa kifupi Samia anapenda kufanyia kazi majungu! Ndo maana anawaachia wizara ya nishati vilaza akina Makamba!Hivi mama sabaya hakumpigia simu samia kweli kumuomba msamaha huu