Huyu script yake imeshaandikwa ila wanampa adabu kidogo kosa lake kuingiza taasisi kubwa ya Rais katika mambo ya kijinga angebeba msalaba tu mwenyewe ila kumtaja kuwa nimetumwa ndio wakampa adabu ila kisiasa hakuna tena maana baada ya huku hata yule lisemaji la Yanga zamani sijui sasa hivi mkuu wa wilaya wa wapi kimyaaa kama hayupo. Msg sent and delivered
 
Nilikuwa nashangaa CCM na tabia yao ya kulindana ikawaje wakamtosa huyu jambazi, kumbe mpango ulikuwa umeshaandaliwa, akae gerezani kidogo then aachiwe kwa kukata rufaa.

Naamini Makonda huko alipo atakuwa ameshusha pumzi ndefu sana kwa huu uamuzi wa mahakama leo.

Hii nchi chini ya utawala wa CCM na pasipo Katiba Mpya...... ni kama tuko utumwani.
 
Mara Buku awe huko ndani, uraiani itakuwa ni hatari sana kwake, watu wana machungu nae sana, na sasa hana kinga sijui itakuwaje huku uraiani walahi!!!
 
Huu ni mpango si bure. Ilithibitishwa mahakamani pasina shaka kuwa pale dukani alikuwa na silaha inakuwaje sasa? Tunaomba uamuzi huo umwagwe hapa tuujadili kama tulivyojadili ule S.H.Amon juu ya kiwanja Kariakoo.
We have no such nonsense tyme bro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…