Leo 16 September Mahakama inaendelea kesi ya uhaini inayomkabili Tundu Lissu dhidi ya Jamhuri

Aende Kisutu akadodoswe kidogoπŸ˜‚
 
Kwani ushahidi wa Khalifa unaanzia wapi?Je haujawasilishwa??
Mshtakiwa alete mashahidi wake sio kazi ya mahakama kumtafutia mashahidi....
Jamhuri haikuomba summons kutafuta mashahidi !!Kila mmoja apambane na hali yake
Kwani wito hutolewa na mshitakiwa ama mahakama?
 
Mnafungua kesi ili kuwaaibisha viongozi wenu hiyo kesi mngekua na akili sawa sawa mngeifuta tu sema kenge mpaka damu itoke masikioni ndio anajua hatari.
Wamehaibishwa sana na Lissu lakini wanajikuta nunda huko tunapoelekea aibu itakuwa sio ya nchi hii wanachohofia ni kwamba Lissu atadai fidia
 
Wamehaibishwa sana na Lissu lakini wanajikuta nunda huko tunapoelekea aibu itakuwa sio ya nchi hii wanachohofia ni kwamba Lissu atadai fidia
Unajua baadhi ya viongozi wakubwa kuhojiwa kiwango chao cha Elimu mbele ya mbao ni aibu sana sema ni vile uwezo wa watu kufikiri umepungua sana.
 
Unajua baadhi ya viongozi wakubwa kuhojiwa kiwango chao cha Elimu mbele ya mbao ni aibu sana sema ni vile uwezo wa watu kufikiri umepungua sana.
Lissu aliona mbali sana hawa watu kuwa mashahidi wake unajua mwanzo alivyofanya haya maamuzi wengi hawakumuelewa ila Sasa ndio Wamepata picha halisi
 
Hii sheria ilitungwa na dikteta. Mtu aliekuwa muovu kiasi cha kujilinda kwa kila njia.
 
Madaraka yanalevya,

Raisi wa Ghana kama nsikosee alisema ukishaingia ikulu kuna kale ka feelings unakapata unajiona wewe ni Demigod ,

wanaamini wanaweza kupata au kufanya chochote wanachotaka.
Rais wa Botswana. Duma Boko
 
Yaani Mimi nilikua najiuliza zile kauli za Lissu mbona kauli za kawaida tuh sioni Kama zinatisha sasa nilipoona CDF, IGP na DCI wanavyokimbia kwenda mahakamani sasa naanza kuelewa yaani Hawa jamaa wanatishika kizembe Sana πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwani ushahidi wa Khalifa unaanzia wapi?Je haujawasilishwa??
Mshtakiwa alete mashahidi wake sio kazi ya mahakama kumtafutia mashahidi....
Jamhuri haikuomba summons kutafuta mashahidi !!Kila mmoja apambane na hali yake
Elimu yako ni form 2 B au?
 
Inawezekana vp hao wote watatu kwa pamoja hawapo nchini?
Naomba kueleweshwa mana n sawa na rais, makamu wa rais na waziri mkuu wote hawapo nchini, how?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…