Course Coordinator1
JF-Expert Member
- Mar 20, 2025
- 857
- 2,341
Kabisa
Mahakama inatakiwa iwe huru
Kabisa kabisaNi nani kati ya hao yuko nje ya nchi? Mbona umma hauna taarifa? Halafu majaji na mawakili wasilete upuuzi wao, ndio maana yaanambiwa ni majaji ya CCM halafu yanang'aka, yanachokataa nini wakati wanajionesha wazi kabisa hapa.
Mahakama mfanye mfanyavyo muwalete hao mashahidi ndani ya viunga vyenu, msiletee huo upuuzi wenu wa kumuagushia mshitakiwa, wakati jukumu na wajibu wenu kuwapa summons na wasipotii kanuni na taratibu zifuate.
Tusichezeane.
Mahakama inatakiwa iwe huru