Mtili wandu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 11,047
- 16,378
Siti ya mbele vp tena wakati sote tulishakubaliana kubwa leo tunakaa ktk jamviSiti ya mbele
Si mmesema Mkurya ni kijana wa TISS na yuko kwenye payroll zenu.TUNAMFUNGA KENGE HUYO
KISHA ANAFUATIA HUYO MKURYA ASIEJUA KUTOFAUTISHA R & L
Mbona wale walioenda kutafuta katiba kwenye kiwanda cha magodoro pale machinjioni mwanza, kikawalipukia wakakata moto zaidi ya mia haujaona uchungu?Ndugu usiongee haya kwakuwa tu hukupoteza mpendwa wako. Hivi unajua kuna watu waliuawa kwa kupigwa risasi wakiwa kibanda umiza wakifuatilia zao burudani ya mpira wala hawakuwa na nia yoyote mbaya?
Unajua kuna watu waliuawa vibarazani mwao? Hivi kwanini mnakosa utu mnageuka mashetani kisa tu mabwana zako wakalie kiti?
Naona mauza uza.Jaji Ndunguru anasema tulitegemea utuambie kuwa una shahidi au hauna maana ni mashahidi wako na Mahakama ilishatoa summons kwahiyo tutabreak ili msajili atupatie feedback.
🤔🤔🤔🤔
So hii maana yake wanataka blame iende kwa Lisu kuwa ameshindwa kuleta mashahidi wake mwenyewe?Jaji Ndunguru anasema tulitegemea utuambie kuwa una shahidi au hauna maana ni mashahidi wako na Mahakama ilishatoa summons kwahiyo tutabreak ili msajili atupatie feedback.
🤔🤔🤔🤔
Naona!So hii maana yake wanataka blame iende kwa Lisu kuwa ameshindwa kuleta mashahidi wake mwenyewe?
Tuko hapa kushuhudia.Naona mauza uza.
Kwa kosa gani hukumu itolewe without trial?Hizo ni Sheria za Kizimkazi bila shaka.Mbona wale walioenda kutafuta katiba kwenye kiwanda cha magodoro pale machinjioni mwanza, kikawalipukia wakakata moto zaidi ya mia haujaona uchungu?
Kama unalijua hlo kwa nini uwatoe hao mabwana kwenye kiti kisa tu kile kijibwa kimewaambia mkinukishe?
Mnaamka mnapga wanaoenda kupga kura, mnachoma vitu vingi, mlitaka vyombo vya ulinzi viwatazame tu eti kisa hotuba ya tundu lisu?
Acheni kulalamika, mlipewa furaha mliyoitaka kwa muda mrefu...
Mkileta ujinga tena mtakula soseji za vyuma...
Eti acha kusema, unanipangia we kama nani? Kwanza ilitakiwa tundu ahukumiwe kifo without trial.
Sisi tunataka wawe hostile sana.Kuweka sawa ni Re-examination mkuu maana cross-examination iliisha jana.
Ni matumaini yetu bila shaka CDF, IGP pamoja na DCI watamtetea ipasavyo mshitakiwa vinginevyo wakigeuka kuwa hostile witnesses basi wajiandae kuwa cross examined na itakuwa mbaya zaidi kwao bora wawe upande wa mshitakiwa ili kufunika madudu ambayo yanaweza kuanikwa hadharani.
Mpira umegeuka na inaonyesha hawajiJaji Ndunguru anasema tulitegemea utuambie kuwa una shahidi au hauna maana ni mashahidi wako na Mahakama ilishatoa summons kwahiyo tutabreak ili msajili atupatie feedback.
🤔🤔🤔🤔
sasa analetaje mashahidi wakati amshahidi wana summons ya MAHAKAMA, ni mahakama ndio imewaita na sio LISSU.So hii maana yake wanataka blame iende kwa Lisu kuwa ameshindwa kuleta mashahidi wake mwenyewe?
Nisubiri umbeya? We thibitisha tu....We unatakaje? Subiria!
Lissu amesema anataka awaandae ili wakimgeuka hapo kizimbani awaonyeshe cha mtema kuni 😆😆.Kama nawaona wake mashahid watatu suruali hazikai mahala pake.
Mahakama inatafuta kujitoa wakati yenyewe ndiyo imetoa wito. Lingekuwa ni jukumu la mshitakiwa basi isingewakingia kifua wale wanne iliyowaenguaJaji Ndunguru anasema tulitegemea utuambie kuwa una shahidi au hauna maana ni mashahidi wako na Mahakama ilishatoa summons kwahiyo tutabreak ili msajili atupatie feedback.
🤔🤔🤔🤔