binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 16,966
- 47,296
😅😅😅😅 Ngoja tumsubiri msajili atupe updates (Kwa sauti ya Jaji Ndunguru)Mpira umegeuka na inaonyesha hawaji
😅😅😅😅 Ngoja tumsubiri msajili atupe updates (Kwa sauti ya Jaji Ndunguru)Mpira umegeuka na inaonyesha hawaji
Naomba unieleweshe kwanini jaji ametumia kauli "Jaji Ndunguru anasema tulitegemea utuambie kuwa una shahidi au hauna maana ni mashahidi wako na Mahakama ilishatoa summons kwahiyo tutabreak ili msajili atupatie feedback."sasa analetaje mashahidi wakati amshahidi wana summons ya MAHAKAMA, ni mahakama ndio imewaita na sio LISSU.
Embu mambo mengine tutumie akili wakuu.
Kwa yanayoendelea aibu tutaona sisi nakwambia.Mahakama inatafuta kujitoa wakati yenyewe ndiyo imetoa wito. Lingekuwa ni jukumu la mshitakiwa basi isingewakingia kifua wale wanne iliyowaengia
Kwani kama wao wameshawapelekea Wito na wamepuuza,hapo si wameidharau mahakama inatakiwa wakashikwe Tanganyika jeki?Mahakama inatafuta kujitoa wakati yenyewe ndiyo imetoa wito. Lingekuwa ni jukumu la mshitakiwa basi isingewakingia kifua wale wanne iliyowaengia
😆😆😆😆Kwani kama wao wameshawapelekea Wito na wamepuuza,hapo si wameidharau mahakama inatakiwa wakashikwe Tanganyika jeki?
Sasa watajitoaje hapo!Maana kwa mimi tu mbumbumbu wa sheria haiingii akilini,je kwa nguli wa sheria kama Lissu!!??
Akupishe mkuu! Waheshimiwa majaji kuna nafasi za watu zimekaliwa hukuKuna kijana hapo juu amechukua siti yangu ya mbele ☹️
Sijawahi kukuona umekasilika namna hii. #TusichezeaneMahakama na majaji wasituletee uhuni wao hapa, hii ya kusema Lissu anatakiwa awalete mashahidi yeye kwa kuwa ni wa utetezi wake, huu ni upuuzi, mahakama inatakiwa ipeleke summons kwa mashahidi hao, na hao mashahidi watii wito, ikiwa tofauti kuna kanuni na sheria juu ya hilo,
Wasiletee janja yao hapa, hii case imebeba hatma ya mtu, hakuhitaji mzaha wala ukiukwaji wa utaratibu wowote.
Tusichezeane.
😃😃😃😃Kwa yanayoendelea aibu tutaona sisi nakwambia.
Kesi ya mchongo haiwezi kuendeshwa kwa weledi walau wa 4.5%
Hilo lipo mikononi mwa Mahakama, MSHITAKIWA anatakiwa tu kuitaarifu MAHAKAMA kuwa MASHAHIDI wake hawajafika, halafu MAHAKAMA iseme kama ina taarifa na kutofika kwao au itafsuri kwamba imedharauriwaKwani kama wao wameshawapelekea Wito na wamepuuza,hapo si wameidharau mahakama inatakiwa wakashikwe Tanganyika jeki?
Sasa watajitoaje hapo!Maana kwa mimi tu mbumbumbu wa sheria haiingii akilini,je kwa nguli wa sheria kama Lissu!!??
Nashukuru sana Mh. Wakili Msomi. Unajua sisi wengine humu ni Malayman na mabush lawyers tulionufaika na hizi committal cases zinazoendelea pale mahakama kuu.Kuweka sawa ni Re-examination mkuu maana cross-examination iliisha jana.
Ni matumaini yetu bila shaka CDF, IGP pamoja na DCI watamtetea ipasavyo mshitakiwa vinginevyo wakigeuka kuwa hostile witnesses basi wajiandae kuwa cross examined na itakuwa mbaya zaidi kwao bora wawe upande wa mshitakiwa ili kufunika madudu ambayo yanaweza kuanikwa hadharani.
Kwani heche na mnyika walipelekewa summons ?Mahakama na majaji wasituletee uhuni wao hapa, hii ya kusema Lissu anatakiwa awalete mashahidi yeye kwa kuwa ni wa utetezi wake, huu ni upuuzi, mahakama inatakiwa ipeleke summons kwa mashahidi hao, na hao mashahidi watii wito, ikiwa tofauti kuna kanuni na sheria juu ya hilo,
Wasiletee janja yao hapa, hii case imebeba hatma ya mtu, hakuhitaji mzaha wala ukiukwaji wa utaratibu wowote.
Tusichezeane.
Hao majaji sijui kama wana akili, waliosema wapelekewe summons ni nani kama sio wao wanaleta mambo ujanja janja wao kwenye kesi kubwa kama hii, i knew it kama haya yatatokea wanatafuta kichaka chakukimbiliaMahakama na majaji wasituletee uhuni wao hapa, hii ya kusema Lissu anatakiwa awalete mashahidi yeye kwa kuwa ni wa utetezi wake, huu ni upuuzi, mahakama inatakiwa ipeleke summons kwa mashahidi hao, na hao mashahidi watii wito, ikiwa tofauti kuna kanuni na sheria juu ya hilo,
Wasiletee janja yao hapa, hii case imebeba hatma ya mtu, hakuhitaji mzaha wala ukiukwaji wa utaratibu wowote.
Tusichezeane.
Sisi tupo na lissu mpk watuuweeeeeLissu amesema anataka awaandae ili wakimgeuka hapo kizimbani awaonyeshe cha mtema kuni 😆😆.
Hapana, kwenye suala la hatma ya mtu, lazima tuwe serious na tuoneshe wazi wazi.Sijawahi kukuona umekasilika namna hii. #Tusichezeane