Wewe nawe unaonekana mweupe kabisa kichwani.Uhuru wa mahakama ni kuamua sio kumsaidia mshtakiwa kuwapata mashahidi wake
Mkuu punguza upumbavu wako.Chadema iliitwa kwenye tume ya Jaji chande haikufika ....
Hawana hiyo jeuri mkuu.Unajua kuna jambo nalifikiria hivi siku waseme wanamnyonga Lissu nahisi patachimbika vitu vingine hivi wanataka kuamsha tuh hasira za watu upya
Hata mimi naona kabisa hiyo Ijumaa kutoka patupu.Hii nchi inafurahisha sana. Inawezekana kweli CDF, IGP na sijui ZCO wote kuwa nje ya nchi? Wameenda kutalii, au!
Na huyo Kingai aliyeahidi kuja Ijumaa ataweza kukubaliana kweli na masharti ya Lissu? Kwamba akijibu kinyume na matakwa yake (Lissu), anamshughulikia! Hivi haoni hatari itakayomkuta!
Ningekuwa ndiyo mimi, ningeendelea kujificha..
huyo ni mzua taharauki tu, usimzingatieAddrees ya CDF inajulukana, kwanini hiyo order itolewe kwa Brigades na vikosi vyote?
Mkuu umeiweka vyema sana hii.Unatumaje barua adress makao makuu ya chama !!
At the same time chama umekifungia. !!
office zilikua zimefungwa. Hakuna wa kupokea barua .
Mnafanya vitu kitoto sana. STUPID 🚮
Hawajielewi hawo mbwa.Sheikh humuogopi hata mungu? Yaani unapanga nani umfunge na nani umwache?
Hawa majamaa ni wapumbavu sana, wanadhani Watanzania wa sasa ni kama wale wa miaka ya 80/90Mkuu punguza upumbavu wako.
Soma tarehe za zile barua alafu rudi kwenye taarifa rejea CHADEMA ilifungiwa kufanya shughuli za kichama toka lini mpaka lini???
Mwisho comment yangu imehusu umuhimu wa kuheshimu mihimili yetu mitatu serikali, bunge na mahakama. Sijazungumzia maswala ya chama chochote.
💯Lissu ana akili sana. Halafu mara zote ni mtu wa kutangulia mbele.
Ajabu!Mashahidi wako unataka mahakama ikusaidie kuwaleta?
Mkuu hold on.Hawa majamaa ni wapumbavu sana, wanadhani Watanzania wa sasa ni kama wale wa miaka ya 80/90
Katuga jana alikua na confidence sana na barua zake, alijua amejichukia points.
They are very STUPID.
Unakuta kwenye hilo kundi lote alitokea mmoja mwenye akili kidogo akaleta mawazo chanya ya kufanya vitu kwa mpangilio.Mkuu hold on.
Hiyo kazi hajaifanya Katuga pekeeake Yaani ni lazima lilikuwepo jopo la watu, wakitafuta benki statement, kadi za umiliki wa magari pia hayo mabarua ya jaji chande.
Swali la kujiuliza hili jopo la watu wote Hawa walishindwa kufikiria juu ya vitu vidogo kama hivyo???
Mwisho unaelewa ni mambumbumbu yaliyopewa nafasi ya kuwakilisha wengi. Wanataka watufanye nasisi ni mambumbumbu kama wao.
Je kama mahakama haioni umuhimu wa ushahidi wa hao mashahidi katika kuamua kesi?Wewe nawe unaonekana mweupe kabisa kichwani.
Mahakama ina mamlaka ya kumuita shahidi mahakamani aje atoe ushahidi ikiwa imeona ushahidi wake utasaidia maamuzi sahihi kufikiwa na mahakama.
Summons imetolewa na mahakama hivyo ni jukumu la mahakama kuhakikisha wito iliyotoa unatekelezwa na usipotekeleza ifauata arrest warrant na pia kuna kesi ya contempt of court.
Vitu vidogo tu unashindwa kuelewa.
Haya mambo yao ya kitoto yametuzalishia hii kesi ya hovyo iliyopo mahakamani kwa sasa.Unatumaje barua adress makao makuu ya chama !!
At the same time chama umekifungia. !!
office zilikua zimefungwa. Hakuna wa kupokea barua .
Mnafanya vitu kitoto sana. STUPID 🚮
Sasa mkuu si ndo maana tayari wameitwa kina CDF, DCIA na IGP.Je kama mahakama haioni umuhimu wa ushahidi wa hao mashahidi katika kuamua kesi?