Leo Daktari naongea na vijana, ukipata mwenza wa dini/imani tofauti na yako vunja hayo mahusiano mapema

Huo nauita utoto au kutojitambua. Mimi nimeoa Catholic. Nimetokea kwenye jamii ya uislamu japo sikuwa muumini sana wa dini kwetu hamna sala tano. I care less about religion japo nina imani na hofu ya uwepo wa Mungu.

Ningesema niweke mgogoro I would have lost the most accurate woman of my life. Kutafta mwanamke wa hivyo ingenichukua muda mrefu sana sababu nilimu mold awe navyotaka mimi. It took a couple of years.

Kiufupi mimi uhusiano ndio kitu cha msingi kuliko hata imani zetu za kidini.
 
I would argue that they have sort of psych issues. Nitawalea watoto wangu ambavyo baba yangu alitulea. He was not scolding us ila alitufanya tuishi maisha ambayo we made our own choices.

Sio style ya udikteta ambayo inamfanya mtoto anakuwa hana uhuru wa kuamua mustakabali wake.
 
Ushauri wako ni mzuri mno, natamani kila mzazi mwenye kijana wa umri ampatie hili. Ukipuuza hapa hii ni mojawapo ya chanzo cha migogoro mingi kwenye ndoa
 
Umenena vyema ili halina mjadala kabisaaa daktari
 
Umeandika pumba nyingi ila PhD inakurekebisha sasa, Anglican church ndio church of England.
Sasa umeandika nn ?Au kokosa uelewa, England ni sehemu ya UK ๐Ÿ˜€ ๐Ÿ˜€ . Kiongozi mkubwa yaani malkia au mfalme ndio anaongoza UK nzima ikiwa England ndani yake.

Phd anaandika ''ndiwo'' ๐Ÿ˜ณwewe ni kilaza!

Vyeti fake ndio tatizo.
 
Asante ndugu mjumbe ๐Ÿ˜
 
Acha kujitapa
 
Hii ni kweli kabisa dokta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ