Leo Daktari naongea na vijana, ukipata mwenza wa dini/imani tofauti na yako vunja hayo mahusiano mapema

Hapo juu umesema una watoto tena mmoja anamalizia masters je .. akija kutoa taarifa kwenye familia ana mchumba dini ni tofauti italichukuliaje hilo ?!

Kumbuka umesema dini haina maana...
Mimi nitamshauri ushauri sahihi lakini siwezi kumzuia anachotaka kufanya na nitampa baraka zote, sina vifungo vya dini, hapa naongea kwa níaba ya primitive society ya Watanzania watu waujuwe ukweli wasije kújuta huko mbeleni
 
Kuhusu serikali kuwatumia viongozi wa dini kwenye shughuli zake hapo inabugi step. Ona kwenye uzinduzi wa treni mpya ya kwenda dodoma kuna masheikh kama wawili hivi walijikita kwenye mambo yao badala ya mada kuu wakaishia kukaushiwa bila kushangiliwa kwa upuuzi wao walioungea pale. Ukiona wanadini wanajipendekeza na kujikombakomba kwenye serikali na serikali kujikombakomba na kujependekeza kwa wanadini ujue lao moja, hapa dini inakuwa extended government. Tangu lini dini na serikali ikawa kitu kimoja? Tangu zamani serikali ilipewa makavu na wanadini kama haitendi vema. Lakini siku hizi dini na serikali ni kitu kimoja wakila pamoja
 
You are not right at all,, ni vema kuwa shauri watu kuondokana na utumwa huu wa fikra, watu tumeletewa dini Africa ambazo zimefanya watu tusahsu asili zetu, watu tumesahau kuwa sisi sote ni waafrika lakin dini zinaleta utengano na wewe pia una support watu watengane kwani hao watu unao washauri watengane wao ni watu gani ni waarabu? Au ni wazungu? Kwahiyo sisi waafrika tumekuwa na utengano how we can say we are the one?!!
Kuna makabila kibao Africa ndio yanaleta utengano
 
Option ni moja tu, abadili imani yake afuate yangu. Ikishindikana hiyo na mahusiano yanakufa. Imani mbili tofauti zinajenga ndoa mbovu kabisa inayokosa misingi imara kwa malezi ya watoto.

Wanaosema dini sio kigezo warudi nyuma wafikirie upya.

Malezi gani hayo unayo sema wewe!!! Kuwarithisha imani za watu kwenda kwa watoto ambao pia ni waafrika,, haya mawazo yenu sijui ni kwa kiasi gani mmeaminishwa hizo dini lakini lazima tuyafikishe mwisho haya mambo yote Africa tulikuwa na imani zetu lakini wao walikuja na kusema Mungu tunaye mwabudu sio Mungu wa kweli wakatuelekeza kuwa Mungu wao ndio wa kweli tukaletewa vitabu vitakavyo wafanya watu kuamini wanacho kiamini wao nasi kwa upuuzi wetu tukakubali kuwa Mungu wao ni wa kweli kuliko wetu tukajengewa imani ili tutawaliwe vizuri AFRICA is a richest continent we need to take advantage of our country, first of all we need to chase out all the whites religious sio kuendekeza udini acheni udini kwani watoto msiwape uhuru wa kuchagua dini zao kwani kuna athari gani mtoto akienda kanisa analotaka na mama nae akaenda anako taka yeye au mtoto akaenda upande wa mzazi mmoja kama bado hamuwezi kuachana na udini,, acheni udini tunaweza kuishi vyema bila kushirikisha mambo ya udini
 
Mimi nitamshauri ushauri sahihi lakini siwezi kumzuia anachotaka kufanya na nitampa baraka zote, sina vifungo vya dini, hapa naongea kwa níaba ya primitive society ya Watanzania watu waujuwe ukweli wasije kújuta huko mbeleni
Kwa ufupi unatoa ushauri ambao kamwe huwezi kumpa mwanao ... 😃
 
Kuna makabila kibao Africa ndio yanaleta utengano

Vita ya ukabila ni vita ndogo sana kulinganisha na vita ya udini,, ni rahisi kuondoa ukabila lakini ni vigumu kuondoa udini sababu watu wameaminishwa mambo ambayo si yakwao (spiritual issues) mwl.Nyerere aliweza kuondoa ukabila kwa hapa Tanzania na baadhi ya nchi lakini udini bado ni big problem, tulikuwa na Zanzibar na Tanganyika ziliungana tukapata Tanzania lakini mpaka sasa kuna watu ni wazanzibari nao wamekuwa wakijaribu mara kadha kujitenga
 
Kuhusu serikali kuwatumia viongozi wa dini kwenye shughuli zake hapo inabugi step. Ona kwenye uzinduzi wa treni mpya ya kwenda dodoma kuna masheikh kama wawili hivi walijikita kwenye mambo yao badala ya mada kuu wakaishia kukaushiwa bila kushangiliwa kwa upuuzi wao walioungea pale. Ukiona wanadini wanajipendekeza na kujikombakomba kwenye serikali na serikali kujikombakomba na kujependekeza kwa wanadini ujue lao moja, hapa dini inakuwa extended government. Tangu lini dini na serikali ikawa kitu kimoja? Tangu zamani serikali ilipewa makavu na wanadini kama haitendi vema. Lakini siku hizi dini na serikali ni kitu kimoja wakila pamoja
Mfumo wa serikali ni kwa ajili ya watu fulani wa jamii fulani, dunia nzima hapawezi kuwa na mfumo mmoja maana kuna watu wa asili tofauti. Aklichoandika huyu Phd wa mchongo ni kukosa maarifa.

Uingereza(UK) kiomgozi wa pale mkuu yaani malkia au mfalme anaapa ''kulinda kanisa katoliki'' maana ndio jamii yao kubwa inaamini , japo kuna waislamu ila lazima watii sheria za pale . Hapa utasema wanachanganya serikali na dini? kwani serikali n nn? NI watu hao hao wanapanga jinsi gani ya kujiongoza .

Eswatini hapo mila zao zitambulika mpaka serikali haswa mavazi .

Serikali inatambua wote ndio maana baadhi ya dini haziruhusu pombe ila serikali haiwezi kupiga marufuku kwa kufuata matakwa hayo, kuitwa kwa viongozi wa dini ni kutambulika ila hawana impact yoyote kweny nchi unless otherwise wale machawa. Serikali inatambua asili ya watanzania haswa masuala ya utamaduni ndio maana wanaperform ngoma za asili kweny matukio muhimu hata wanamuziki wa kawaida pia .

Kila anayepewa mualiko anafanya yake pale wakati shekhe na mchungaji wakimaliza kutoa dua zao, basi ngoma za asili pia zitapigwa hata mziki wanaocheza uchi wanafanya shughuli yao . Hapo kila mtu kashiriki kwa kimpango wake.

unaweza kufikiria kama kweli tunafuata sana dini basi pasingeliwa nguruwe , watu wasingekunywa pombe, kutembea uchi kwa wakati mmoja. Hawa atheists ndio wana chokochoko siku zote hawaangalii nafasi yao wao kisa wanakosa viongozi ndio kama roho inauma kiufupi kila mtu yupo huru kama yupo kiongozi wa atheist aende kweny kongamano atambulishwe wenzake.

Hata kiongozi wa dini ana haki ya kukosoa kwa upande wake kwa watu wake binafsi sio jamii nzima, nimehudhuria hafla kadhaa wasanii wanaperfom uchi hata kweny menu kuna pombe , mbon sisemi kwa vile mimi sinywe?Mbele ya viongozi wa dini mziki unahezwa kila mtu anafanya yake.

Ukweli ni kwamba, kama kitu hakikuhusu hakiwezi kukudhuru atheist wengi ni ''WAPUMBAVU'' kama hutaki dini ni wapi sheria za dini hiyo zinakubana fanya yako then chapa lapa sio Phd wa mchongo kama huyu Dr Matola PhD . Kiufupi hawezi kuchambua mambo ni hasara kwa taifa.​
 
Option ni moja tu, abadili imani yake afuate yangu. Ikishindikana hiyo na mahusiano yanakufa. Imani mbili tofauti zinajenga ndoa mbovu kabisa inayokosa misingi imara kwa malezi ya watoto.

Wanaosema dini sio kigezo warudi nyuma wafikirie upya.
Kwa hii comment watasema wewe umepitwa na wakati.kwamba watu wanaoishi leo hawawazi hivyo vitu
 
Acha kabisa usijaribu hilo, hata malezi ya watoto kiroho ni mtihani.
Nakubaliana nawe Mkuu mi nina mtu wangu karibu naye ameyafanya haya yaani kwa sasa watoto wamekuwa wanatanga tanga tu kiimani.

Mwanzo mwanzo mke alisema kabadilisha dini ila kadiri siku zinavyokwenda anarudi kwenye imani yake.

Naungana nawe ikibidi kuoana imani zifanane ili kuepuka kuhangaisha watoto.
 
Malezi gani hayo unayo sema wewe!!! Kuwarithisha imani za watu kwenda kwa watoto ambao pia ni waafrika,, haya mawazo yenu sijui ni kwa kiasi gani mmeaminishwa hizo dini lakini lazima tuyafikishe mwisho haya mambo yote Africa tulikuwa na imani zetu lakini wao walikuja na kusema Mungu tunaye mwabudu sio Mungu wa kweli wakatuelekeza kuwa Mungu wao ndio wa kweli tukaletewa vitabu vitakavyo wafanya watu kuamini wanacho kiamini wao nasi kwa upuuzi wetu tukakubali kuwa Mungu wao ni wa kweli kuliko wetu tukajengewa imani ili tutawaliwe vizuri AFRICA is a richest continent we need to take advantage of our country, first of all we need to chase out all the whites religious sio kuendekeza udini acheni udini kwani watoto msiwape uhuru wa kuchagua dini zao kwani kuna athari gani mtoto akienda kanisa analotaka na mama nae akaenda anako taka yeye au mtoto akaenda upande wa mzazi mmoja kama bado hamuwezi kuachana na udini,, acheni udini tunaweza kuishi vyema bila kushirikisha mambo ya udini
Sawa mkuu.
 
mkuu kabla sijamaliza kusoma reply yako kwangu hebu nikurekebishe kidogo. Ni church of england, yaani kanisa la Anglican na sio Roman Catholic
 
Mfumo wa serikali ni kwa ajili ya watu fulani wa jamii fulani, dunia nzima hapawezi kuwa na mfumo mmoja maana kuna watu wa asili tofauti. Aklichoandika huyu Phd wa mchongo ni kukosa maarifa.

Uingereza(UK) kiomgozi wa pale mkuu yaani malkia au mfalme anaapa ''kulinda kanisa katoliki'' maana ndio jamii yao kubwa inaamini , japo kuna waislamu ila lazima watii sheria za pale . Hapa utasema wanachanganya serikali na dini? kwani serikali n nn? NI watu hao hao wanapanga jinsi gani ya kujiongoza .

Eswatini hapo mila zao zitambulika mpaka serikali haswa mavazi .

Serikali inatambua wote ndio maana baadhi ya dini haziruhusu pombe ila serikali haiwezi kupiga marufuku kwa kufuata matakwa hayo, kuitwa kwa viongozi wa dini ni kutambulika ila hawana impact yoyote kweny nchi unless otherwise wale machawa. Serikali inatambua asili ya watanzania haswa masuala ya utamaduni ndio maana wanaperform ngoma za asili kweny matukio muhimu hata wanamuziki wa kawaida pia .

Kila anayepewa mualiko anafanya yake pale wakati shekhe na mchungaji wakimaliza kutoa dua zao, basi ngoma za asili pia zitapigwa hata mziki wanaocheza uchi wanafanya shughuli yao . Hapo kila mtu kashiriki kwa kimpango wake.

unaweza kufikiria kama kweli tunafuata sana dini basi pasingeliwa nguruwe , watu wasingekunywa pombe, kutembea uchi kwa wakati mmoja. Hawa atheists ndio wana chokochoko siku zote hawaangalii nafasi yao wao kisa wanakosa viongozi ndio kama roho inauma kiufupi kila mtu yupo huru kama yupo kiongozi wa atheist aende kweny kongamano atambulishwe wenzake.

Hata kiongozi wa dini ana haki ya kukosoa kwa upande wake kwa watu wake binafsi sio jamii nzima, nimehudhuria hafla kadhaa wasanii wanaperfom uchi hata kweny menu kuna pombe , mbon sisemi kwa vile mimi sinywe?Mbele ya viongozi wa dini mziki unahezwa kila mtu anafanya yake.

Ukweli ni kwamba, kama kitu hakikuhusu hakiwezi kukudhuru atheist wengi ni ''WAPUMBAVU'' kama hutaki dini ni wapi sheria za dini hiyo zinakubana fanya yako then chapa lapa sio Phd wa mchongo kama huyu Dr Matola PhD . Kiufupi hawezi kuchambua mambo ni hasara kwa taifa.​
Umeandika pumba nyingi ila PhD inakurekebisha sasa, Anglican church ndio church of England.
 
Back
Top Bottom