Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
Umeambiwa usiwe na bando.Yaani mkuu[emoji23][emoji23]
Nikajua ime connect, nikazama YouTube kucheki movie! Dakika kama 15 nimeletewa sms kutoka TTCL ya kubakiza MB 15 kutoka GB 1
Mwanzisha uzi utakufa kifo cha mende [emoji23]
Inakubali mitandao ipi ya SimuUmeambiwa usiwe na bando.
Swali muhimuInakubali mitandao ipi ya Simu
Na mimi najifunza mkuu, bado sijajaribuInakubali mitandao ipi ya Simu
Kupoteza muda tu!Na mimi najifunza mkuu, bado sijajaribu
VPN ina kazi mbiliYaani mkuu[emoji23][emoji23]
Nikajua ime connect, nikazama YouTube kucheki movie! Dakika kama 15 nimeletewa sms kutoka TTCL ya kubakiza MB 15 kutoka GB 1
Mwanzisha uzi utakufa kifo cha mende [emoji23]
Ukiona huelewi jua VPN siyo kwaajili yako so Endelea kuweka voucherKupoteza muda tu!
Tatizo lenu wavivu kusoma maelekezo mnayopewa !!!!!Yaani mkuu[emoji23][emoji23]
Nikajua ime connect, nikazama YouTube kucheki movie! Dakika kama 15 nimeletewa sms kutoka TTCL ya kubakiza MB 15 kutoka GB 1
Mwanzisha uzi utakufa kifo cha mende [emoji23]
Mwenye ile picha ya msukuma anavuta bangi mbichi aweke hapa [emoji23][emoji23][emoji23]Tatizo lenu wavivu kusoma maeleezo mnayopewa !!!!!
Ebu futa hiyo App uliyoweka,tumia bundle lako udownload Apk toka link niliyowapa then install, pindi Bundle lako likiisha ndio ujaribu free trick line ikiwa haina salio wala bundle
Kwani mmeshindwa kabisa kutengeneza wi-fi server ya sumaku na nyembe? Hadi muanze kudanganyana namna hii? Mi ndo ninayotumia, sema speed yake ni 2G ispokuwa kuanzia saa saba usiku to saa 11 alfajiri, inakuwa 3GHivi kuna watu bado mnanunua bando? Ongeeni na watu vizuri mjini hapa![emoji1787][emoji1787]
Wenzio mbona tunapata kamserereko tangia kitambo we ndio unagundua leo
Hivi kuna watu bado mnanunua bando? Ongeeni na watu vizuri mjini hapa!🤣🤣
Mwaka wa pili huu, nipo hewani bureeeeeNimeona ni ujinga kulialia kila siku sasa ni mwendo wa vpn tu nilikuwa napata shida na configuration files namalizia tu kuzi sort hapa na kuna mdau nimekutana naye instagram ni mnigeria ananisaidia
Airtel leo mnaenda kupata tshs 2000 ya mwisho kwenye bando lakini bado nitakuwa hewani sana FOR FREE UNYONGE SASA BASI NYIE PANDISHENI TU HATA IWE 5000 KWA MB 50 ,WAZIRI MWENYEWE AKILALAMIKIWA ANAWASUTA WATU
Jibu la mheshimiwa sio sahihi lazima ku balance sio kulalia Kwa wenye mitambo,Hakuna namna.....Nape anakomaa na wanaolalamikia bei za bandoView attachment 2310797
Kwani mmeshindwa kabisa kutengeneza wi-fi server ya sumaku na nyembe? Hadi muanze kudanganyana namna hii? Mi ndo ninayotumia, sema speed yake ni 2G ispokuwa kuanzia saa saba usiku to saa 11 alfajiri, inakuwa 3G
Tudanganye ili iweje? Hakuna nchi watu wanakula kiulaini kama hapa bongo..wewe kaa hivyohivyo,kalagabaho!Kwani mmeshindwa kabisa kutengeneza wi-fi server ya sumaku na nyembe? Hadi muanze kudanganyana namna hii? Mi ndo ninayotumia, sema speed yake ni 2G ispokuwa kuanzia saa saba usiku to saa 11 alfajiri, inakuwa 3G