Leo Leo ya Nandy na Koffie Olomide tumepigwa

Mungu wangu, unakuta huyu ndiyo mume wako wa ndoa zile za mpaka kifo kitutenganishe..!!

'si bora muninyonge'...!!
Chawa, wanawezeshwa hao kwa kazi hii
Hapo anakwambia Zuchu ni mkali kuliko Jide, Ruby, Nandy na EA nzima[emoji23][emoji23][emoji23]

Miziki ya siku hizi bana
 
Sawa Baba levo tumekusikia. Vipi umeshajifungua wale mapacha watatu , uliotutangazia utamzalia mondi?
 
Tatizo Nandy badala ya kukimbia yeye kama yeye anataka kukimbizana.zuchu anakimbia so anajua anaenda wapi na focus yake ni wapi ndo mana ana speed na anafika mbali..,
Nandy anaangalia wengine wanakimbiaje,wanakimbilia wapi halafu anaenda.
Zuchu akitoa wimbo Nandy anatoa,katoa Cheche na mond, Nandy katoa sijui wimbo gani na Ali kiba
Katoa litawachoma,Dada ya kipare anaona kurudia Ali kina yuleyule mmhh anatoa na bill mass
Katoa na Joe boy,Dada ya kipare nae kamkimbilia huyohuyo Joe boy
Mopao kashakuja so ujio wake tena hata hauna kishindo..

Nandy kimbia wewe kama wewe,kuwa mbunifu ufanye ya kipekee kufika mbali
Kwenye biashara washindani ni muhimu lakini Fanya kitu tofauti na ladha tofauti kumzidi mshindani wako sokoni.sio mshindani wako akitoa nawe unarudia kilekile.
 
Huu ni upupu
Koffi atapiga show Valentine day na tickets zinakaribia kuwa sold out

Acha kumpangia afanyeje anaangalia penye faida na nyimbo zake zimefanya vizuri
 
Duh Mkuu unasema tumepigwa / umepigwa ?, Je umenunua Copy au umeangalia tu free ?, Kwahio umepigwa nini Bundle zako au ?
 
Wewe jamaa umeingia Youtube umekutana na li wimbo fake et Nandi na cof. Umepoteza mb zako. Uo sio official song acha ushamba
 
Jamaa unajua kuchamba wewe.
Ila samahani kwa kukuita jamaa make sikujua jinsia yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…