Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Dah sijui hapa nisemeje ila
Wanaume tumepungua sana
Wanaume tumepungua sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umepiga humo humo,wako kazini hawa vijana wa Anko ShamteHao ni Timu Mavi ,wanapewa laptop simu za mkononi na wanawekewa bando ili kuwasifu na kuwapamba wasanii wao.
Thread ya Nandy lakini Ndani content yote anamsifu Zuchu.
Kama nimekukwaza nisamehe, hata mimi huwa ninakupenda sana.Dada sky nakupenda sana ila
Sasa wewe nae wa kibamia
Wewe umesema kamuiga Diamond. Usiandike usichokijua.Haijalishi ila point ni tumepigwa
😂Mungu wangu, unakuta huyu ndiyo mume wako wa ndoa zile za mpaka kifo kitutenganishe..!!
'si bora muninyonge'...!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji134]Mungu wangu, unakuta huyu ndiyo mume wako wa ndoa zile za mpaka kifo kitutenganishe..!!
'si bora muninyonge'...!!
Chawa, wanawezeshwa hao kwa kazi hiiMungu wangu, unakuta huyu ndiyo mume wako wa ndoa zile za mpaka kifo kitutenganishe..!!
'si bora muninyonge'...!!
Sawa Baba levo tumekusikia. Vipi umeshajifungua wale mapacha watatu , uliotutangazia utamzalia mondi?Habarini wanajamvi,kiukweli huyu Nandy currently Hamna kitu maana anaforce kunya kwa tembo na mwisho anapasuka......
Aliona Waah ya The African G O.A.T DIAMOND PLATINUMZ imevunja record ya Africa na yeye akataka atbelee Ile upepo Sasa audio tu ni utopolo fc[emoji23][emoji23][emoji23]
Sukari ya ZUCHU ni Mara 100 ya wimbo huu mpya wa NANDY maana hauna maajabu,ZUCHU the East African Queen anampa presha huyu NANDY.
Ko kiukweli currently hakuna msanii wa kike namba moja zaidi ya ZUCHU na pia ZUCHU ni Bora Mara 100 zaidi ya NANDY.
ZUCHU Yuko full package Kwanza ni composer,singer, songwriter,dancer, performer, investor and proficiency both in English and Swahili language rather than any female artist in East Africa.
Huu ni upupuTatizo Nandy badala ya kukimbia yeye kama yeye anataka kukimbizana.zuchu anakimbia so anajua anaenda wapi na focus yake ni wapi ndo mana ana speed na anafika mbali..,
Nandy anaangalia wengine wanakimbiaje,wanakimbilia wapi halafu anaenda.
Zuchu akitoa wimbo Nandy anatoa,katoa Cheche na mond, Nandy katoa sijui wimbo gani na Ali kiba
Katoa litawachoma,Dada ya kipare anaona kurudia Ali kina yuleyule mmhh anatoa na bill mass
Katoa na Joe boy,Dada ya kipare nae kamkimbilia huyohuyo Joe boy
Mopao kashakuja so ujio wake tena hata hauna kishindo..
Nandy kimbia wewe kama wewe,kuwa mbunifu ufanye ya kipekee kufika mbali
Kwenye biashara washindani ni muhimu lakini Fanya kitu tofauti na ladha tofauti kumzidi mshindani wako sokoni.sio mshindani wako akitoa nawe unarudia kilekile.
Hakuna jipyaaaHuu ni upupu
Koffi atapiga show Valentine day na tickets zinakaribia kuwa sold out
Acha kumpangia afanyeje anaangalia penye faida na nyimbo zake zimefanya vizuri
Jamaa unajua kuchamba wewe.Habarini wanajamvi,kiukweli huyu Nandy currently Hamna kitu maana anaforce kunya kwa tembo na mwisho anapasuka......