Rogart Ngaillo
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 908
- 1,911
Mijizi katika ubora wao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CCM imeuza gesi ya Mtwara na LindiHata Roma haikujengwa kwa siku moja.
Hawo wanataka makofi“Wagombea wanaambiwa Mawakala wataapa kwenye Tarafa nk. Hakuna ngazi ya Tarafa kwenye Uchaguzi. Mawakala wanapaswa kuapa ama kwa Msimamizi msaidizi ( kwenye Kata ) au kwa Msimamizi wa Uchaguzi ( Kwenye Jimbo ). Baadhi ya wasimamizi wa Uchaguzi wanasumbua wagombea MAKUSUDI”. Zitto Kabwe.
“Miaka yote katika chaguzi zote Mawakala wetu wanaapishwa makao makuu ya kata na wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi. Leo Mkurugenzi anataka tusafirishe watu zaidi ya 1600 kwenda halmashauri maeneo mengine umbali wa km 60 kwa barabara zetu, risk, gharama na usumbufu mkubwa”. John Heche.
“Nimeongea na Mkurugenzi wa tume Dk Mahera akasema anatoa maelekezo kwa msimamizi wa uchaguzi lakini bado msimamizi amegoma. Badala ya uchaguzi kuwa wa wadau unakua mali ya msimamizi ambae alipaswa kuwa facilitator tu. Impunity,ujinga na uhuni”. John Heche.
Wana hamu ya mbaoLissu upo wapi kaka?
Toa tamko juu ya hii hali, kemea kaka.
Bado mtakuja kusema pori Burigi limebinafisihwa.CCM imeuza gesi ya Mtwara na Lindi
Sasa leo tena mnataka mkaapishwe kwa necccm!!?🤤🤤🤤.“Wagombea wanaambiwa Mawakala wataapa kwenye Tarafa nk. Hakuna ngazi ya Tarafa kwenye Uchaguzi. Mawakala wanapaswa kuapa ama kwa Msimamizi msaidizi ( kwenye Kata ) au kwa Msimamizi wa Uchaguzi ( Kwenye Jimbo ). Baadhi ya wasimamizi wa Uchaguzi wanasumbua wagombea MAKUSUDI”. Zitto Kabwe.
“Miaka yote katika chaguzi zote Mawakala wetu wanaapishwa makao makuu ya kata na wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi. Leo Mkurugenzi anataka tusafirishe watu zaidi ya 1600 kwenda halmashauri maeneo mengine umbali wa km 60 kwa barabara zetu, risk, gharama na usumbufu mkubwa”. John Heche.
“Nimeongea na Mkurugenzi wa tume Dk Mahera akasema anatoa maelekezo kwa msimamizi wa uchaguzi lakini bado msimamizi amegoma. Badala ya uchaguzi kuwa wa wadau unakua mali ya msimamizi ambae alipaswa kuwa facilitator tu. Impunity,ujinga na uhuni”. John Heche.
Watu wameziona fursa na wamezifanyizia eti?Bado mtakuja kusema pori Burigi limebinafisihwa.
Wahutu wenzake wanawinda bila bughuza ila Watanzania wakienda kutafuta kitoweo wanauwawa na TANAPA.Bado mtakuja kusema pori Burigi limebinafisihwa.
Acha uzushi,kama kushindwa mmeshashindwa.Wahutu wenzake wanawinda bila bughuza ila Watanzania wakienda kutafuta kitoweo wanauwawa na TANAPA.
Heche akuwa mbunge kalipwa kiinua mgongo milioni 200 anashindwa kusafirisha mawakala mbona wenzie wamesafirisha?Wapeni hela ya nauli waende kuapishwa
Wanataka haki na sheria zifanye kaziHeche akuwa mbunge kalipwa kiinua mgongo milioni 200 anashindwa kusafirisha mawakala mbona wenzie wamesafirisha?
Watake kwanza zito na Maalim Seif waachishwe ugombea kwa kujivua uanachamaWanataka haki na sheria zifanye kazi
Hizo c hela za uchaguzi elewaHeche akuwa mbunge kalipwa kiinua mgongo milioni 200 anashindwa kusafirisha mawakala mbona wenzie wamesafirisha?
Hujui halafu unaropokaMbona mnajikanganya? Makao makuu ya kata si tarafa?
Kata na Tarafa ni Ofisi mbili tofauti.Mbona mnajikanganya? Makao makuu ya kata si tarafa?