Uchaguzi 2020 Leo Mawakala wanaapishwa figisu zimeanza, sahihi za Mawakala zadaiwa kugushiwa. Polisi wachunguza

Yeyote anayeshabikia CCM ni mjinga. Yaani wewe kwa miaka yako yote hiyo unaamini makao makuu ya kata ni tarafa? Mko wajinga na wabishi. Na ndio mnaoiweka CCM madarakani. Mmoja jana anauliza eti NDC ni nini? Kweli CCM inafaidika sana na ujinga wa watu!
Kaka JPM kushinda kwa 90% usilete hasira kwangu. Muunganiko wa kata kadhaa za halmashauri huzaa tarafa. Ninavyojua wanataka kuapishwa kwenye tarafa ila Chadema hawana nauli za kufika huko. Pitisheni bakuli ili mawakala wafike huko.
 
“Wagombea wanaambiwa Mawakala wataapa kwenye Tarafa nk. Hakuna ngazi ya Tarafa kwenye Uchaguzi. Mawakala wanapaswa kuapa ama kwa Msimamizi msaidizi ( kwenye Kata ) au kwa Msimamizi wa Uchaguzi ( Kwenye Jimbo ). Baadhi ya wasimamizi wa Uchaguzi wanasumbua wagombea MAKUSUDI”. Zitto Kabwe.

“Miaka yote katika chaguzi zote Mawakala wetu wanaapishwa makao makuu ya kata na wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi. Leo Mkurugenzi anataka tusafirishe watu zaidi ya 1600 kwenda halmashauri maeneo mengine umbali wa km 60 kwa barabara zetu, risk, gharama na usumbufu mkubwa”. John Heche.

“Nimeongea na Mkurugenzi wa tume Dk Mahera akasema anatoa maelekezo kwa msimamizi wa uchaguzi lakini bado msimamizi amegoma. Badala ya uchaguzi kuwa wa wadau unakua mali ya msimamizi ambae alipaswa kuwa facilitator tu. Impunity,ujinga na uhuni”. John Heche.
Mawakala wetu hawajawahi kutuangusha.

Tutapambana chini ya Mwamba Lissu.
 
Kaka JPM kushinda kwa 90% usilete hasira kwangu. Muunganiko wa kata kadhaa za halmashauri huzaa tarafa. Ninavyojua wanataka kuapishwa kwenye tarafa ila Chadema hawana nauli za kufika huko. Pitisheni bakuli ili mawakala wafike huko.
Hehehee hakuna kanuni hiyo kwenye kanuni za uchaguzi za Tume. Mawkaala wanaapishwa majimboni na katanni tu basi. Tarafa haimo.

Mtakwama tu leo.
 
Mawakala wa CCM wanaapishwa kwenye kata halafu mawakala wa upinzani wanaambiwa waende kwenye tarafa.Mawakala wa upinzani wakifika kwenye tarafa wanaambiwa kuwa sheria haielekezi kuwa waende kwenye tarafa!
 
Nani kawaelekeza hivyo
 
Sasa ndiyo uchaguzi unaanza..wale walijikisanya huko ati kulimbea taifa amani wanatakiwa wachungulie huku ili haki itendeke...

Zoezi hili tunategemea 100% hakutakuwa na vitendo vya kihuni...wasimamazi watende haki kwa kufuata sheria na kanuni za uchaguzi.
 
Kila awamu ya uchaguzi utasikia Magufuli akisema "sasa ni wakati wa kujali maslahi ya wafanyakazi"![emoji1782][emoji1782][emoji1782]
43890890.jpg
 
Sasa ndiyo uchaguzi unaanza..wale walijikisanya huko ati kulimbea taifa amani wanatakiwa wachungulie huku ili haki itendeke...

Zoezi hili tunategemea 100% hakutakuwa na vitendo vya kihuni...wasimamazi watende haki kwa kufuata sheria na kanuni za uchaguzi.

Mkuu hao wanaokusanyika kuomba amani wanajua kabisa haki haipo, hivyo hawaombi amani, bali wanaomba watu watakubali kuporwa haki yao. Bila machafuko sioni lolote likibadilika.
 
Nitajie wangapi wamekufa kwaku kosa maji ya kunywa hapa nchini.
Kha! Hivi hujui Water bourne diseases zinauwa haswa Watoto chini ya umri wa miaka mitano, MATAGA huwa nawaambiaga CCM inapenda mbali wajinga ili itawale sisi tuna sema sasaaa!! BAAAS!!!
 
“Wagombea wanaambiwa Mawakala wataapa kwenye Tarafa nk. Hakuna ngazi ya Tarafa kwenye Uchaguzi. Mawakala wanapaswa kuapa ama kwa Msimamizi msaidizi ( kwenye Kata ) au kwa Msimamizi wa Uchaguzi ( Kwenye Jimbo ). Baadhi ya wasimamizi wa Uchaguzi wanasumbua wagombea MAKUSUDI”. Zitto Kabwe.

“Miaka yote katika chaguzi zote Mawakala wetu wanaapishwa makao makuu ya kata na wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi. Leo Mkurugenzi anataka tusafirishe watu zaidi ya 1600 kwenda halmashauri maeneo mengine umbali wa km 60 kwa barabara zetu, risk, gharama na usumbufu mkubwa”. John Heche.

“Nimeongea na Mkurugenzi wa tume Dk Mahera akasema anatoa maelekezo kwa msimamizi wa uchaguzi lakini bado msimamizi amegoma. Badala ya uchaguzi kuwa wa wadau unakua mali ya msimamizi ambae alipaswa kuwa facilitator tu. Impunity,ujinga na uhuni”. John Heche.
Kama hamuwezi kuwahudumia mawakala wenu tuambie sie ccm mlikuwa mnataka shilingi ngapi tuwalipie mawakala wenu nauli posho na mahitaji mengine. CCM ni watu wazuri sana tunaweza tukawasaidia.
 
Back
Top Bottom