Hawa wakurugenzi na watendaji wakata, wahache Mambo ya ajabu huko chini wenda wanafanya Mambo haya kwa mashinikizo ya watu wao huko majimboni ,hata makao makuu nec kutohusika,na mbaya zaidi lawama zinaenda moja kwa moja kwa uongonzi juu nec,hii sio fair, na msituletee Mambo yenu kuvuruga amani
USHAURI
Kama wanakataa kuwaapisha pigini kambi hapo hata ya siku tatu mpaka mjue hayo mamla ya kukataa kuapisha mawakala wanatoa wapi, au wanataka kuchafua viongonzi wao taifa wa nec, au wanatakavuruga amani na uchaguzi katika taifa, haiwezekani mtu mmoja Tena huko chini atake kuvuruga mchakato alafu anyamaziwe,