Uchaguzi 2020 Leo Mawakala wanaapishwa figisu zimeanza, sahihi za Mawakala zadaiwa kugushiwa. Polisi wachunguza

Uchaguzi 2020 Leo Mawakala wanaapishwa figisu zimeanza, sahihi za Mawakala zadaiwa kugushiwa. Polisi wachunguza

Daraja wakati Wananchi hawana Maji ya kunywa
Korogwe Billion 200 zimewekwa ,Tabora mradi wa ziwa victoria unaendelea ,Arusha ndo usiseme kuna billiion zipo kwenye miradi ya maji,Dar ndio kabisa hata aibu kusema ,Shinyanga maji ya ziwa victoria yapo na sasa yanapelekwa Kishapu n.k,Kweli Daraja ni nongwa linatuzuia miradi wakati bado inatekelezwa.!😡
Magu atawashangaza anarudi Ikulu kwa kishindo kuliko za 2015
 
Mimi nawewe ni nani shabiki kama sio wewe!
Mimi nilikuwa CCM tokea miaka ya tisini nimeihama Mwaka 2018 kwa sababu ya Sera za kijinga na kutojua Vipaumbele cha Mtanzania

Mimi sio mshabiki wa Chadema Mimi ni mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo.
 
Sasa nawe jifanye Makonda uwazabe makofi uone. 🤣🤣🤣🤣🤣
Sasa kama Kiongozi wameonyesha mfano wa kuigwa kwa nini na sisi watu wa chini tusionyeshe uzalendo kwa kupiga mitano mizuri ya viongozi wetu kwa kuwazaba vibao wanaoleta firigisi
 
Lolote wanalofanya wajue watanzania tunachukua ushahidi wote na kupeleka sehemu husika. Kubwa ni kwamba uvumilivu sasa baasi.
Sehemu husika Wapi zaidi vya kupambana tu hapa hapa? Hii ya sehemu husika Hakika haitafika. Na msipofanikiwa kuapisha mawakala mmekwisha.
 
Sasa kama Kiongozi wameonyesha mfano wa kuigwa kwa nini na sisi watu wa chini tusionyeshe uzalendo kwa kupiga mitano mizuri ya viongozi wetu kwa kuwazaba vibao wanaoleta firigisi
Hayo unayosema endelea tu kuyafanya huku JF na kama utaamua kufanya hivyo vitendo utapotea. Fanya vitu kwa kiasi kuna maisha baada ya uchaguzi
 
Naona wafuasi wa shetani wanapungua tu

[emoji116]



Mawakala wanne wa Chadema wamefariki dunia na wengine watatu kujeruhiwa, katika ajali ya gari iliyotokea barabara ya Molo - Sumbawanga mkoani Rukwa, Mwenyekiti wa Chadema mkoa wa Rukwa, Shadrack Malila amesema.
 
“Wagombea wanaambiwa Mawakala wataapa kwenye Tarafa nk. Hakuna ngazi ya Tarafa kwenye Uchaguzi. Mawakala wanapaswa kuapa ama kwa Msimamizi msaidizi ( kwenye Kata ) au kwa Msimamizi wa Uchaguzi ( Kwenye Jimbo ). Baadhi ya wasimamizi wa Uchaguzi wanasumbua wagombea MAKUSUDI”. Zitto Kabwe.

“Miaka yote katika chaguzi zote Mawakala wetu wanaapishwa makao makuu ya kata na wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi. Leo Mkurugenzi anataka tusafirishe watu zaidi ya 1600 kwenda halmashauri maeneo mengine umbali wa km 60 kwa barabara zetu, risk, gharama na usumbufu mkubwa”. John Heche.

“Nimeongea na Mkurugenzi wa tume Dk Mahera akasema anatoa maelekezo kwa msimamizi wa uchaguzi lakini bado msimamizi amegoma. Badala ya uchaguzi kuwa wa wadau unakua mali ya msimamizi ambae alipaswa kuwa facilitator tu. Impunity,ujinga na uhuni”. John Heche.
View attachment 1607088

UPDATES ====•

Mawakala wanne wa Chadema wamefariki dunia na wengine watatu kujeruhiwa, katika ajali ya gari iliyotokea barabara ya Molo - Sumbawanga mkoani Rukwa, Mwenyekiti wa Chadema mkoa wa Rukwa, Shadrack Malila amesema.
#MwananchiUpdates.

John Mnyika: Jitihada za mawasiliano na NEC juzi, jana na leo mpaka muda huu kudhibiti hujuma kwenye uapishaji wa mawakala zimekwama maeneo mengi. Nitazungumza vyombo vya habari HQ saa 8 mchana. Kwa sasa , #PeoplesPower itumike maeneo ambayo hujuma zinaendelea. #SasaBasi
Mwaka huu utakuwa wa vitasa, hivi unawez ukofoji sahihi yako iili iweje
 
Back
Top Bottom