Uchaguzi 2020 Leo Mawakala wanaapishwa figisu zimeanza, sahihi za Mawakala zadaiwa kugushiwa. Polisi wachunguza

Uchaguzi 2020 Leo Mawakala wanaapishwa figisu zimeanza, sahihi za Mawakala zadaiwa kugushiwa. Polisi wachunguza

Wakuu

Kichwa cha uzi chahusika. Leo hatutaki kusikia sijui Lissu yupo wapi, sijui Lissu kafanya nini. Tunachotaka kusikia ni je mawakala wote wa upinzani wameapishwa au la?

Itakuwa ni ujinga uliopitiliza kumsikiliza Lissu huku jambo la muhimu zaidi likiachwa.

Nitaongea mengine baadae lakini kwa sasa nisiwachoshe.
Umeshachelewa bwashee!
 
Gharama za kuwasafirisha,kuwapa posho,unazo?
 
Unazijuaaaaa v8 wewe ?
20201021_135348.jpg
 
Kwani wote mnaokuwa mnatuchosha humu na nyuzi zenu nyiiingi utadhani mnashindana kuandika Hapa JF miongoni mwenu hamna hata mmoja anaye aminika huko Chadema kuwa wakala?
 
Chato Mawakala wa Chadema Wamekataliwa

Wamekataliwa kwa sababu zipi? mbona sielewi!

Mbona mchakato was upigaji wakura za maoni kwa wagombea Ubunge wa CCM ulifanyika transparently/wazi bila labsha yoyote na Wantanzania wote waka ridhika kwa zoezi zima, hakuna mgombea yoyote aliye lalamika.

Kwani zoezi la upigaji kura na kuhesabu kura za Rais na wabunge ukifanyika kistaarabu kama ilivyo kuwa kwenye kura za maoni za CCM kuna tatizo gani?

Mizengwe zengwe ambayo inaonekana inaanza kuota mizizi ndio itakuwa chanzo cha kutuletea balaa katika Taifa letu - NEC isimamie, iratibu na kutangaza matokeo hizinjingeze katika masuala ya ku-vent mawakala wa vyama au wengine kuwaondoa/katalia kabisa wasiwakilishe vyama vyao - hayo NEC inawahusu nini? Uchaguzi huu tusipo kuwa makini unaweza kulitia aibu Taifa letu pamoja na viongozi wetu - tukachukuliwa hatua kali - chonde chonde tusifike huko.
 
Back
Top Bottom