Uchaguzi 2020 Leo Mawakala wanaapishwa figisu zimeanza, sahihi za Mawakala zadaiwa kugushiwa. Polisi wachunguza

KAMA KUNA MTANZANIA ANAFIKIRI MAMBO YATAENDA VYEMA KWA TUME HII YA MAHERA, ANAJIDANGANYA. MATEGEMEO YA CCM YAKO KATIKA TUME YA MAHERA, NA MMEISHAAMBIWA, TATIZO LA WATANZANIA NI WAGUMU KUAMINI! NGUVU YA UMMA INAPASWA KUANZA MAPEMA!
 
CCM lini mtajifunza kutenda haki? Hao watu mnaowaibia wamejitoa, wametumia pesa zao kufanya kampeni halafu mwisho wa siku mnafanya ujinga ujinga huo. Mnataka kufanya Tanzania isikalike
na nyie ibeni akishinda mbowe hakuna wizi ila akishinda wa ccm ndio wizi
 
chagua magufuli mkuu mitano tena
 
Mimi nilikuwa CCM tokea miaka ya tisini nimeihama Mwaka 2018 kwa sababu ya Sera za kijinga na kutojua Vipaumbele cha Mtanzania

Mimi sio mshabiki wa Chadema Mimi ni mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo.
mkuu wiki ijayo kama saizi chadema mtakua mmeisha tepeta ha ha ha ha
 
Tusipokuwa makini vita vinaweza kuanza leo
 
Kama tukishindwa kwa HAKI hapo sawa ila kwa wizi wa Kura Big NO
Mkuu siku zote huwa tunashinda kwa haki ndio mana last time mlipata hadi wabunge wengi hapa dar ila safari hii tunawakalisha mapema kama saiz tutakua tushamaliza kazi
 
Acheni Visingizio vya Kitoto
Kumbukeni Bado siku 6
Magufuli Mitano tena
 
No hate no fear ,hakuna uchaguzi kufanyika kama hakuna mawakala,kama wameshindwa kuwaapisha basi uchguzi usogezwe mbele mpaka watakapowaapisha otherwise wakiforce tunakinukisha kwenye vituo.
 
Wakuu

Kichwa cha uzi chahusika. Leo hatutaki kusikia sijui Lissu yupo wapi, sijui Lissu kafanya nini. Tunachotaka kusikia ni je mawakala wote wa upinzani wameapishwa au la?

Itakuwa ni ujinga uliopitiliza kumsikiliza Lissu huku jambo la muhimu zaidi likiachwa.

Nitaongea mengine baadae lakini kwa sasa nisiwachoshe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…