Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
SureSio Upole, Wengi ni Mazuzu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SureSio Upole, Wengi ni Mazuzu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wapi hukk mkuuLolote wanalofanya wajue watanzania tunachukua ushahidi wote na kupeleka sehemu husika. Kubwa ni kwamba uvumilivu sasa baasi.
Wameanza Figisu ili Magufuli aendelee kututesa
Mijizi katika ubora wao
Mkuu figisu kubwa kuliko yote inafanyika pale waliporuhusu kutumia leseni au vitambulisho vya uraiaYeyote anayeshabikia CCM ni mjinga. Yaani wewe kwa miaka yako yote hiyo unaamini makao makuu ya kata ni tarafa? Mko wajinga na wabishi. Na ndio mnaoiweka CCM madarakani. Mmoja jana anauliza eti NDC ni nini? Kweli CCM inafaidika sana na ujinga wa watu!
Uzuzu wa Watanzania hupati Nchi ya kuwalinganisha nao Duniani.....Sure
Halafu utakuta huyo jamaa ni mdada wa kazi wa nyumbani.Kutokujua tofauti ya Kata na Tarafa ni ujinga wa hali ya juu. Ninakukera ili siku nyingine usisahau.
Mambo madogo madogo hivi unashindwaje??
Dawa ni kuwapa "block" tu kutupunguzia muda wa kusoma maandishi ya kipumbavu.Duh, kwa kweli CCM imejaza majitu majinga majinga! Yaani makao makuu ya Kata ni Tarafa?
Nilichokiona Moshi ni 90% ya kura za watanzania kwa JPM.Duh, kwa kweli CCM imejaza majitu majinga majinga! Yaani makao makuu ya Kata ni Tarafa?
Vyama vyote mkuu.kwani huko wanakosema ni mbali wanaenda mawakala wa chama kimoja au mawakala wa vyama vyote? msaada tutani Mkuu
Mpaka sasa Ccm ina 90% ushindi kura za urais,ubunge na udiwani.Halafu utakuta huyo jamaa ni mdada wa kazi wa nyumbani.
Hivi akiachiwa hata dawa awape watoto kweli atawapa inavyotakiwa?
CCM imeharibu akili za Watanzania lakini hatima ya uovu wao imefika tamati.
Mtapiga mayowe,lakini ukweli unabaki kuwa katibu kata anaripoti kwa katibu tarafa.Duh, kwa kweli CCM imejaza majitu majinga majinga! Yaani makao makuu ya Kata ni Tarafa?
Toka hapa pumbavu wewe! Ni wapi ambako bado kuna cheo cha Katibu Kata? Au Katibu Tarafa? Nina mashaka na elimu yako!Mtapiga mayowe,lakini ukweli unabaki kuwa katibu kata anaripoti kwa katibu tarafa.
Tuliza mshono,utapasuliwa bandama. Tanzania imejipangVituo ambavyo vitakuwa havina Mawakala wa Chadema na ACTwazalendo vitaambulia kupigwa kiberiti na msimamizi kuogeshwa kwa Petroli
Mtajua tu wapi! Wakati ni mwalimu mzuri sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wapi hukk mkuu
Kama hawapo basi unaishi ulaya. Weo na Deo ni nani fala wewe?Toka hapa pumbavu wewe! Ni wapi ambako bado kuna cheo cha Katibu Kata? Au Katibu Tarafa? Nina mashaka na elimu yako!
TemboTuliza mshono,utapasuliwa bandama. Tanzania imejipangView attachment 1607382View attachment 1607382
Au mpaka mtu aseme mtendaji ndio uelewe fala wewe.Toka hapa pumbavu wewe! Ni wapi ambako bado kuna cheo cha Katibu Kata? Au Katibu Tarafa? Nina mashaka na elimu yako!