Uchaguzi 2020 Leo Mawakala wanaapishwa figisu zimeanza, sahihi za Mawakala zadaiwa kugushiwa. Polisi wachunguza

Uchaguzi 2020 Leo Mawakala wanaapishwa figisu zimeanza, sahihi za Mawakala zadaiwa kugushiwa. Polisi wachunguza

Wameanza Figisu ili Magufuli aendelee kututesa
Mijizi katika ubora wao
Yeyote anayeshabikia CCM ni mjinga. Yaani wewe kwa miaka yako yote hiyo unaamini makao makuu ya kata ni tarafa? Mko wajinga na wabishi. Na ndio mnaoiweka CCM madarakani. Mmoja jana anauliza eti NDC ni nini? Kweli CCM inafaidika sana na ujinga wa watu!
Mkuu figisu kubwa kuliko yote inafanyika pale waliporuhusu kutumia leseni au vitambulisho vya uraia

Leo usiku kuanzia saa 12 mpaka kesho atakafofika Mh.Magufuli Arusha tayari watu wa NIDA wameambiwa wakakeshe uwanjani namimi ni shahidi nimeona wakijiandaa kwenda uwanjani, na pale ofisi ya NIDA wamebaki watu wawili tu.

Nahisi wataenda na Mashine pale au ofisi zao zitakuwa wazi na watafanya jambo, watamultiply majina au kutengeneza majina feki watumie kupigia kura CCM

Sent from my Infinix X624B using JamiiForums mobile app
 
Kutokujua tofauti ya Kata na Tarafa ni ujinga wa hali ya juu. Ninakukera ili siku nyingine usisahau.

Mambo madogo madogo hivi unashindwaje??
Halafu utakuta huyo jamaa ni mdada wa kazi wa nyumbani.
Hivi akiachiwa hata dawa awape watoto kweli atawapa inavyotakiwa?
CCM imeharibu akili za Watanzania lakini hatima ya uovu wao imefika tamati.
 
kwani huko wanakosema ni mbali wanaenda mawakala wa chama kimoja au mawakala wa vyama vyote? msaada tutani Mkuu
 
Duh, kwa kweli CCM imejaza majitu majinga majinga! Yaani makao makuu ya Kata ni Tarafa?
Dawa ni kuwapa "block" tu kutupunguzia muda wa kusoma maandishi ya kipumbavu.
2020_10_21_15.54.09.jpg
 
Halafu utakuta huyo jamaa ni mdada wa kazi wa nyumbani.
Hivi akiachiwa hata dawa awape watoto kweli atawapa inavyotakiwa?
CCM imeharibu akili za Watanzania lakini hatima ya uovu wao imefika tamati.
Mpaka sasa Ccm ina 90% ushindi kura za urais,ubunge na udiwani.
 
Vituo ambavyo vitakuwa havina Mawakala wa Chadema na ACTwazalendo vitaambulia kupigwa kiberiti na msimamizi kuogeshwa kwa Petroli
 
Back
Top Bottom