Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Duh huyo ana bahati ya mtendeView attachment 2618502
Leo huko Antakya, Uturuki Mtu huyu alitolewa nje. Kutoka chini ya vifusi vy concreti alikuwa hai, miezi mitatu baada ya tetemeko la ardhi kutokea Uturuki, SubhanaAllah Yeye Allah ni muweza wa kila kitu.
Kahawa fmHaya ni maajabu,hebu tupe chanzo cha habari na sisi tujionee kwanza
Not possible, kisayansi hata kiimani.View attachment 2618502
Leo huko Antakya, Uturuki Mtu huyu alitolewa nje. Kutoka chini ya vifusi vy concreti alikuwa hai, miezi mitatu baada ya tetemeko la ardhi kutokea Uturuki, SubhanaAllah Yeye Allah ni muweza wa kila kitu.
[emoji3][emoji3]Kahawa fm
Pia usisahau how to make your country/affiliation great again.Hiyo habari nimeitafuta kwa kiswahili, kiingereza na kifaransa nimeikosa.
Nimefatilia habari za moto palepale Uturuki napo sijaipata.
1. Likely alikuwa kwenye kanafasi kalikokuwa na hewa
2. Lazima alikuwa na source ya chakula - hata kama ni mende, panya, minyoo au nyama za wenzake aliofukiwa nao wakafariki
3. Alikuwa pia na chanzo cha maji.
Kweli Allah ni muweza wa yote. Na si ajabu aliruhusu tetemeko hili litokee na kuua maelfu ya watu ili aje aonyeshe uwezo wake kwa kumponya huyu mmoja baada ya miezi mitatu. Matendo na uwezo wake havielezeki!