Leo mtu mmoja atolewa katika kifusi cha udongo mjini Antakya nchini Uturuki; yupo hai baada ya miezi 3 tangu kutokea tetemeko la ardhi

Leo mtu mmoja atolewa katika kifusi cha udongo mjini Antakya nchini Uturuki; yupo hai baada ya miezi 3 tangu kutokea tetemeko la ardhi

Kama ni kweli:

1. Lazima alikuwa kwenye kanafasi kalikokuwa na hewa

2. Lazima alikuwa na source ya chakula - hata kama ni mende, panya, minyoo au nyama za wenzake aliofukiwa nao wakafariki

3. Lazima alikuwa pia na chanzo cha maji.

Kweli Allah ni muweza wa yote. Na si ajabu aliruhusu tetemeko hili litokee na kuua maelfu ya watu ili aje aonyeshe uwezo wake kwa kumponya huyu mmoja baada ya miezi mitatu. Matendo na uwezo wake havielezeki! 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Screenshot_20230512-093211.jpg

Sarcasm? 🤔
 
Yaani aue maelfu ya watu apone mmoja ili tu aoneshe uwezo wake? Haileti maana yoyote ile. Kwanini ahitaji kujua wengi ili aoneshe uwezo wake?
 
Kuna watu ni wabishi yaani. Imagine jamaa kaka miezi mitatu anabishana na Israel mtoa roho na amemshinda.

Huyu jamaa anatakiwa kupewa kwanza hadhi ya juu sana ya kishujaa. Halafu apewe mwandishi mzuri sana wa vitabu aandike story yake.
 
Alikuwa anakula Nini?
Kuna wale jamaa watatu walikwama kwenye kifusi Kahama miezi karibia mitano,walipotolewa wakasema walikuwa wanakula mende na wadudu mbalimbali na kunywa mikojo yao.

Baada ya kutolewa mmoja alifia hospital wawili wali-survive
 
Labda kama alifukiwa akiwa jikoni au store ya vyakula. Tofauti na hapo itabidi aeleze vizuri maelezo yakueleweka.
 
Turkiye sasa wapo kwenye kampeni za uchaguzi mkuu... Inawezekana mleta mada anasapoti chama tawala Ili kionekane kimefanya kazi kubwa. Ukiona hivyo ujue hali tete kwa chama tawala
 
Yaani aue maelfu ya watu apone mmoja ili tu aoneshe uwezo wake? Haileti maana yoyote ile. Kwanini ahitaji kujua wengi ili aoneshe uwezo wake?

Namhala.

Jaga ūgasome Īlilagīlo lya Kale ūmuBibilia. Līmulungu lyabūlagaga banhū jihūmbī na jihūmbī na gūpīja banhū bagehu guke!

Līwelelo 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
 
Back
Top Bottom