Leo mtu mmoja atolewa katika kifusi cha udongo mjini Antakya nchini Uturuki; yupo hai baada ya miezi 3 tangu kutokea tetemeko la ardhi

Leo mtu mmoja atolewa katika kifusi cha udongo mjini Antakya nchini Uturuki; yupo hai baada ya miezi 3 tangu kutokea tetemeko la ardhi

Kweli Allah ni muweza wa yote. Na si ajabu aliruhusu tetemeko hili litokee na kuua maelfu ya watu ili aje aonyeshe uwezo wake kwa kumponya huyu mmoja baada ya miezi mitatu. Matendo na uwezo wake havielezeki! 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Duh..!
Kama ndivyo basi hyo mungu atakuwa hana upendo wala huruma kwa watu aliowaumba.

Yaani auwe watu wote wale kisa tu ni kutaka kuonesha nguvu zake!!?
 
Mzee source Yako ni ipi!? Hii habari ingetrend duniani !!!
Ila kama ni kweli itakuwa kaandika historia
 
Kwani wale viumbe we Paul mackenzie walikufa baada ya siku ngapi baada ya kuacha kula
 
View attachment 2618502

Leo huko Antakya, Uturuki Mtu huyu alitolewa nje. Kutoka chini ya vifusi vy concreti alikuwa hai, miezi mitatu baada ya tetemeko la ardhi kutokea Uturuki, SubhanaAllah Yeye Allah ni muweza wa kila kitu.
Hayo maandishi ya Kiarabu yana maanisha hivi;
"Leo huko Antakya, kijana huyo alitoka kwenye kifusi Mungu asifiwe"

Hakuna taarifa za mtu kufukuliwa leo, jana wala juzi.

Msiuhubiri ukuu wa Mungu kwa visa vya uongo. Hahitaji uongo ili kudhihirisha ukuu wake.
Mungu ana mambo mengi makubwa kuliko uongo mnao utunga, mngeweza mkatumia hayo katika mahubiri kuliko uongo huu.
 
Kama ni kweli:

1. Lazima alikuwa kwenye kanafasi kalikokuwa na hewa

2. Lazima alikuwa na source ya chakula - hata kama ni mende, panya, minyoo au nyama za wenzake aliofukiwa nao wakafariki

3. Lazima alikuwa pia na chanzo cha maji.

Kweli Allah ni muweza wa yote. Na si ajabu aliruhusu tetemeko hili litokee na kuua maelfu ya watu ili aje aonyeshe uwezo wake kwa kumponya huyu mmoja baada ya miezi mitatu. Matendo na uwezo wake havielezeki! [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Kama Mungu aliweza kuoa na kumtesa mwanae kwa dhambi zetu, wakati alikua na uwezo wa kusamehe bila kutoa mwanae kafara si Mungu wa ajabu huyu????
 
Hapo ndipo wasiomuamini mungu hupata point kwa sababu waamini wanatumia nguvu kumpamba kwa visa vya uongo.
 
View attachment 2618502

Leo huko Antakya, Uturuki Mtu huyu alitolewa nje. Kutoka chini ya vifusi vy concreti alikuwa hai, miezi mitatu baada ya tetemeko la ardhi kutokea Uturuki, SubhanaAllah Yeye Allah ni muweza wa kila kitu.

Huyu ndiye wa mwisho kuokolewa. Hii yako ni fix tu
 
Back
Top Bottom