Leo naolewa


Hongera karibu kundini ila ujue ndoa ni uvumilivu na upendo ,mkiweza hayo ndoa ni furaha.nakutakiwa maisha mema katika ndoa na mungu awatangulie kwa kila jambo
 
ukadumu kwenye ndoa sio unakuja kesho unasema umeachika tayar
 
Khee ngoja tusubiri
 
Hongera sana monicca,kila la kheri katika kusherehekea siku ya muhimu kama hii katika maisha yako kwa kufungua kurasa mpya..
 
Anamtisha Nani? I real trust myself kwa kiwango cha juu sana..sitishiki na lolote hata mtarajiwa analijua hili.
Usitumie hiki kitu kwenye ndoa yako Mamy hutachukua mda humo, hata kama unajiamini nishushe Mamy na usitumie hiyo sentensi kwa Mr hata kama umeshatumia usirudie ukiwa ndani ya ndoa .. Wapole sana hawa watu kabla hujaingia ukishaingia ni story ingine na mambo mengine ..
 
huyo mchumba ndio uimpata hapa jamiiforums? niliona uzi unaomba mchumba wenye jina kama lako, ndio wewe?
 
Kabisaa mae,wanaume ni wepesi wa kukinai unaweza ukafanya kitu kidogo ukashangaa amebadilika..kashapata sababu. Hukatazwi kujiamini lakini kila kitu fanya kwa kiasi..
 
Kabisaa mae,wanaume ni wepesi wa kukinai unaweza ukafanya kitu kidogo ukashangaa amebadilika..kashapata sababu. Hukatazwi kujiamini lakini kila kitu fanya kwa kiasi..
Kama ataelewa achukue ushauri huu.. Ila akienda kujiinua humo ndani siku si nyingi atarudi na hadithi hapa
 
Umachangia vizuri, naamini kuna kitu atajifunza hata kama hatakubali hapa ila kwenye nafsi yake amejifunza na atalifanyia kazi... Ndoa nyingi huvunjika kwa sababu ya watu kujikweza instead ya kuwa humble... Chukua like ya maneno na ya kitufe[emoji106]
 
Usisahau kuleta mrejesho wa kile kitajili as you did kwa wale waliofumani wakifanya mapenzi ofisini.
 
Asante mkuu
 
Hongera sana, mwanamke mtulivu ni tunu ya bwana .....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…