nyiokunda
JF-Expert Member
- Jun 16, 2015
- 1,976
- 1,181
Habarini za asubuhi wa ndugu wapenzi.
Naamini mmeamka salama, pia nawapa pole wote ambao hamko poa leo, nawaombea kwa Mungu mpone haraka.
Baada ya hayo nachukua nafasi hii kuwaalika nyote ktk harusi yangu leo..itakayofanyika St. Joseph na kufuatiwa na sherehe pale Delux Hall. Asante sana.
Hongera karibu kundini ila ujue ndoa ni uvumilivu na upendo ,mkiweza hayo ndoa ni furaha.nakutakiwa maisha mema katika ndoa na mungu awatangulie kwa kila jambo