Leo natimiza miaka 5 na mke wangu, siku ya kwanza kutoka date alinipa ujumbe mzuri sana

Mkuu mke wako ni wakawaida sana na nikuhakikishi kwamba wa kawaida njoo DM...

Unapagawa na vitu vidogo hivyo kweli wewe zipompwepompwe umeoa satawang'ina hilo halafu unaaminia,njoo inbox tukuoneshe kuwa mwanamke wako wakawaida sana

Wanga wabayaa
 
soma tena mkuu.
 
Mwanzo wa mbio huwa ni huleta matumaini ya ushindi lakini kadri unasonga mbele ugumu unaongezeka, lakini kadri unavyo songa matumaini yale ya ushindi yanarudi.
Furaha ya mbio ni mwisho ikiwa unaelekea kushinda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…