nashukuru google helper japokuwa ulikimbia ukaguzi weye
Temana naye huyo anatumia cha Arusha.
Nashangaa mtu nnae hapa afu naambiwa ndo mwinjilistKumbe ulikuwa hujaambiwa eenh...
mimi jana nimewapiga chabo akina Lady doctor na Arushaone. mia
Heheh...sis will take u out na tutakula the same palette ya menu waliyokula...harusi ilikuwa classic ile mambo ya kubeba haikuwepo kqbisa...
itabidi aekewe kikao cha familia akanywe maana Bishanga pekee hatoweza
Mhh! Nakuambia usije kabisa harusini Mamndenyi pia na Mamzalendo asitie mguu.
nakusubiri utoke honeymoon mume wangu halafu Baba V na wewe tutazungumza na hapo habari ya wanao sahau kabisa nawaambia baba yao kashakufa hivyo wasiulizage kabisa huwezi nifanyia mimi hivi
halafu hicho kibabu
hakieleweki ujue
we yako lini bi mkubwa tuje kukifinya?
hahahaaa mtajicarry mwaka huu....!!!!!!!! Kumbe bado mwampenda lol!!!!!
mh mama usijiamini aliyetangulia katangulia tu mpenzi na wewe una nini cha kumkamata asiende kwa mwingine...mie simtaki tena ila nataka tu ajiamini aje hapa aseme hanitaki tena na sababu za msingi
mi bado nipo nipo sana,labda ya kwako ndo unikaribishe
nakusubiri utoke honeymoon mume wangu halafu Baba V na wewe tutazungumza na hapo habari ya wanao sahau kabisa nawaambia baba yao kashakufa hivyo wasiulizage kabisa huwezi nifanyia mimi hivi