Leo ndo Leo...., Arushaone na Lady doctor mbele ya baba paroko... Ndoa hiyooo...!!!!!

jamani jamani jamani!!!!! We si ulisema niende zangu nikuachie picha uendelee na game!!!!!! Sasa kipingamizi cha nini?
Kwanza umechelewa ndoa imeshafungwa
hapana nakupenda bado hakuna wivu mkali tunaoupata wanaume kama pale wapenzi tunaowakacha wakiolewa na wanaume wengine yaani ukitaka kumchoma roho mwanaume wako wa zamani mwalike kwenye harusi yako
 
Sasa naona wewe wataka litia togwa nzi...watu washaenda honeymoon Maldives!

hapana nakupenda bado hakuna wivu mkali tunaoupata wanaume kama pale wapenzi tunaowakacha wakiolewa na wanaume wengine yaani ukitaka kumchoma roho mwanaume wako wa zamani mwalike kwenye harusi yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…