#COVID19 Leo ndo nimeamini COVID-19 ni hatari

I'm fighting and with the help of our almighty GOD I'll win.
ungepata mda tafuta kitu inaitwa ALMINT kwenye viduka vile vya misikitini au dawa za kihindi.ni babkubwa ile ukiweka kitone tuu ukajifkiza na ukainywa kwa chai inafungua kifua chote.haifiki hata buku
 
Mkuu hata huko wengine kama kusingekuwa na cha kuwatisha basi nao wasingekuwa na sababu ya kuona corona ni hatari, kwahiyo hata wenzetu huko wapo ambao huona corona inakuzwa na kuwajenga watu hofu kinyume na uhalisia.

Mimi nilidhani hapa tunaongea kiujumla, kwa mfano, tunaposema Afrika ni masikini na Marekani ni tajiri, tuna maana ukienda Marekani kila mtu anamiliki Benz? Tunaongea hivi tukijua fika kuwa huko USA kuna masikini wa kutupa hata kwetu ukute hayupo wa hivyo. Kwa kulinganisha, tunatofautiana sana ndugu.
 
Acha kutisha watu
 
nenda kwenye kongamano la katiba mpya
 
Hamna tatizo mkuu.. nitakwenda
Uende tu kwa maana tumeambiwa na watu wengi na kila mtu anajua kuwa korona ipo na tukumekubali kuishi nayo- sasa wewe sijui umetoka lini mwezini mpaka utuletee habari hizi njema leo
 
Ndio nimekwambia hiyo tofauti kwa sababu ya hofu kwa kama wao nao kusingejengwa hiyo hofu basi sidhani kama ungeona kuwa tofauti sana na sie. Hata hapa bongo tukifanikiwa kujenga watu hofu basi mambo yataenda sawa kama hao wengine.
 
Uende tu kwa maana tumeambiwa na watu wengi na kila mtu anajua kuwa korona ipo na tukumekubali kuishi nayo- sasa wewe sijui umetoka lini mwezini mpaka utuletee habari hizi njema leo
Sawa mkuu nimekuelewa
 
Nina ndugu yangu amefariki wiki iliyopita kwa covid. Kabanwa kifua ghafla kaondoka. Corona ni hatari kuliko hata ukimwi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…