Sasa mbona hajatokea kwa press???Hawawezi kumkamata. Unadhani yupo TZ ? 🤣
Remember alipitia mafunzo ya intelligence na alipokuwa CuBa alijiunga kwenye zile Military Intelligence Training zinazotolewa na private entity
Hawezi kuwa mzembe anawajua CCM next move zao zote
Usingekuwa unaweza kuchat humu bila VPN
HaiwezekaniItakuwa Polisi wa nchi aliko wamemkamata. Ila akiwa nchi yenye demokrasia atapona.
Huwezi jua nini kimetokeaNiwe mkweli, kuingia mitini kwa Polepole Leo bila taarifa yoyote kazingua Sana. Alitakiwa atoe taarifa ya kuhairisha Mkutano wake. Leo watu wengi wamefurika kumsuburia Polepole halafu hajatokezea.
Kazingua big time hata kama ni kwa bahati mbaya.
Usikute katekwa wameshamuua na mwili wake kuweka kwenye acid inayoyeyusha kama ilivyokuwa kwa Patrice LumumbaNiwe mkweli, kuingia mitini kwa Polepole Leo bila taarifa yoyote kazingua Sana. Alitakiwa atoe taarifa ya kuhairisha Mkutano wake. Leo watu wengi wamefurika kumsuburia Polepole halafu hajatokezea.
Kazingua big time hata kama ni kwa bahati mbaya.
Kwahyo mkisha msikiliza huwa mnafanya nn au mnasikiliza tu halafu then mnaenda kulala.... STUPID!
Atakuwa mpumbavu sana kama alikuwa anafanya hizo press zake akiwa hapa Tanzania..mi nkajua pengine yuko nje za nchi.Pole pole wamepita nae?
Huwezi jua nini kimetokea
Mnamwaibisha mama wa watu Sana Kwa hizi akiliSamia yupo hadi 2035.Hii ndio anaanza awamu yake, mtaweukwa akili MBWA nyie
Hajazingua amesharekodi kipindi anasubiri kuachia tu alikua anawapiga chenga maboya.Niwe mkweli, kuingia mitini kwa Polepole Leo bila taarifa yoyote kazingua Sana. Alitakiwa atoe taarifa ya kuhairisha Mkutano wake. Leo watu wengi wamefurika kumsuburia Polepole halafu hajatokezea.
Kazingua big time hata kama ni kwa bahati mbaya.
Vipi mmemuua?Mkimsikia au kumuona tena,njooni mnichome moto
Ndio maana nasema you guys mnamchukulia polepole ni just a loser guy …..he knows all the next move za Vijana wa lumumba intelligence ya kihuni…. He planned his gestures way backIle video aliyoionyesha akiwa askari monument ni wapi?
Akirudi atatoa sababu za kuingia mitini.Niwe mkweli, kuingia mitini kwa Polepole Leo bila taarifa yoyote kazingua Sana. Alitakiwa atoe taarifa ya kuhairisha Mkutano wake. Leo watu wengi wamefurika kumsuburia Polepole halafu hajatokezea.
Kazingua big time hata kama ni kwa bahati mbaya.
Usikute katekwa wameshamuua na mwili wake kuweka kwenye acid inayoyeyusha kama ilivyokuwa kwa Patrice Lumumba