Uchaguzi 2020 Leo nimeamini Mbowe mzalendo, Wahariri TBC wachukuliwe hatua kutangaza kinyume na sheria za utangazaji

Dawa imewaingia TBC na imewakolea, wamepanic vibaya mno, ni aibu kwa chombo cha habari kufukuzwa na kukatazwa kutorusha matangazo kwa tabia za kuzima sauti ya live na kuingiza ya kwao.

Kuna ITV na vyombo vya online watarusha tu. Dawa imeingia pahala pake vizuri na kukolea
 
Mpaka sasa nashindwa kuamini kama wanaolilia uhuru wa habari wanauminya hata kabla hawajaelewa nini wanataka
 
Kama mmewafukuza TBC mtashindwaje kuwafuku hao ITV na wengine?
 
Leo chadema wamejizika maana hakuna aliyewaoana watu hata elfu moja hawakupata
 
Watu wawili hahahaha eti nyomi TBC wanawananga kijanja
 
Kauli za kujifariji tu.. Ukweli ni kwamba TBC hawatakiwi kwenye mikutano ya CDM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…