Leo nimegundua kitu kimoja, kuvuka barabara si kitu kidogo!

Leo nimegundua kitu kimoja, kuvuka barabara si kitu kidogo!

Tulipofikia kusimama kupisha watembea kwa miguu kwenye zebra ni hatari kama madereva wengine hawajali.

Mwehu anaku-overtake hapo kwenye zebra umesimama na uwezekano mkubwa mtembea kwa miguu hatoliona hilo gari.
 
Ndio ujue umuhimu wa kusimama kwenye zebra kuruhusu watu wapite. Sijawahi kuendesha gari hata siku moja bila kupisha watu kuvuka kwenye zebra au hata sehemu ambayo haina zebra nikiona watoto au watu wazima/wazee.
Ni vizuri sana. Ila la kukumbushana ni kwamba ukisimama kupisha watu washa hazard tulia, usiwaonyeshee wanaovuka ishara yoyote. Huwezi kujua anayekuja mbele yako kama na yeye yupo tayari kusubiri watu wavuke.
 
Tulipofikia kusimama kupisha watembea kwa miguu kwenye zebra ni hatari kama madereva wengine hawajali.

Mwehu anaku-overtake hapo kwenye zebra umesimama na uwezekano mkubwa mtembea kwa miguu hatoliona hilo gari.
Shwaaaaaaaaaa kama umeme
 
Back
Top Bottom