Ndio boss siumeona mwenyewe😃Lift😁
Mpaka barabara ya watembea kwa miguu chombo zinapita ujue too sadNi changamoto sana zinatukumba watembea kwa miguu sio kwenye kuvuka barabara tu bali hata katika movement za hapa na pale kwa kupita katika zile Service Road lazima uache ndala
Watu wanagongwa Sana kwenye zebra hasa bodaboda hawa jamaa hawajui kusimama.Mwendo wa kuchochora tu
Kuna jamaa mmoja Magomeni mikumi pale ashaumiza boda wengi aisee wale wanaopenda kupita kwenye barabara za watembea kwa miguu kwa kuwasukuma ukipita karibu yake una bahati mbaya tayariMpaka barabara ya watembea kwa miguu chombo zinapita ujue too sad
Mimi huwa navuka kwa kukimbia...Binafsi nimeshindwa… Mara kibao nimeshavushwa na mtu anayegundua kuwa yamenishida.
WaTz ni watu wazuri.
Watanzania wengi ni watu wasiofuata utaratibu barabarani wakiendesha. Kinachotakiwa ni madaraja ya juu ya kuvukia watembea kwa miguu kuwa mengi kadri iwezekanavyo, police kwenye Zebra na Traffic Camera. Watu wanagongwa sana wakivuka barabara na sheria kwa ajali hizo ni nyepesi sana.Utajenga ngapi mkuu sasa sometimes serikali tunailamu bure tu
Anapatikana wapi huyu nikampe hela ya lunch?Kuna jamaa mmoja Magomeni mikumi pale ashaumiza boda wengi aisee wale wanaopenda kupita kwenye barabara za watembea kwa miguu kwa kuwasukuma ukipita karibu yake una bahati mbaya tayari
Tuki wait serikali ndo ifanye tutazikwa wengi mno na vyombo vya mto mkuu .Watanzania wengi ni watu wasiofuata utaratibu barabarani. Kinachotakiwa ni madaraja ya juu kuvukia watembea kwa miguu, police kwenye Zebra au Traffic Camera. Watu wanagongwa sana wakivuka barabara na sheria kwa ajili hizo ni nyepesi sana.