WhyIla mleta mada una nyota nzuri. Umeleta uzi wa hivi bila kushambuliwa hapa JF?! Hold on....wachangiaji wa kwanza hawajakushambulia, wangekushambulia hao wa kwanza wanaofuata wangeunga tela kama wanavyopiga mwizi bila kujua kaiba nini.
Limekuwa janga ujue wanaovatake kila kona nyie😄Fikiria uko na watoto wako wadogo mnatemba barabarani, ni muvi la kutisha
Undeshaji wa vyombo vya moto bongo umevurugwa sana na badaboda na vijana wa gen z, ni kama kwao hakuna sheria za barabarani.
Ndo kifo hapo siku hizi zebra siyo sehemu salama tenaTulipofikia kusimama kupisha watembea kwa miguu kwenye zebra ni hatari kama madereva wengine hawajali.
Mwehu anaku-overtake hapo kwenye zebra umesimama na uwezekano mkubwa mtembea kwa miguu hatoliona hilo gari.
Ni vizuri sana. Ila la kukumbushana ni kwamba ukisimama kupisha watu washa hazard tulia, usiwaonyeshee wanaovuka ishara yoyote. Huwezi kujua anayekuja mbele yako kama na yeye yupo tayari kusubiri watu wavuke.Ndio ujue umuhimu wa kusimama kwenye zebra kuruhusu watu wapite. Sijawahi kuendesha gari hata siku moja bila kupisha watu kuvuka kwenye zebra au hata sehemu ambayo haina zebra nikiona watoto au watu wazima/wazee.
Ndo kipengele hapo issue nikuwa extra carefullyNi vizuri sana. Ila la kukumbushana ni kwamba ukisimama kupisha watu washa hazard tulia, usiwaonyeshee wanaovuka ishara yoyote. Huwezi kujua anayekuja mbele yako kama na yeye yupo tayari kusubiri watu wavuke.
Kuna kuzoea mkuu unadhani ni shida tu mungu atufanyie wepesi soteBodaboda sio kwenye kuvuka tuu. Bali hata ukitembea barabarani hawawezi kupita mbali na wewe. Wanakuja karibu yako shaaan.
Sisi watembea kwa miguu tushazoea hizo mambo. Kwetu sio tatizo.
Shwaaaaaaaaaa kama umemeTulipofikia kusimama kupisha watembea kwa miguu kwenye zebra ni hatari kama madereva wengine hawajali.
Mwehu anaku-overtake hapo kwenye zebra umesimama na uwezekano mkubwa mtembea kwa miguu hatoliona hilo gari.
Kuna kuzoea mkuu unadhani ni shida tu mungu atufanyie wepesi sote
Neno "chombo" limeficha utambulisho wa haraka....Ila mleta mada una nyota nzuri. Umeleta uzi wa hivi bila kushambuliwa hapa JF?! Hold on....wachangiaji wa kwanza hawajakushambulia, wangekushambulia hao wa kwanza wanaofuata wangeunga tela kama wanavyopiga mwizi bila kujua kaiba nini.
Ni watu wabaya hasa bodaboda, hawasimami hata kwenye Zebra.Binafsi nimeshindwa… Mara kibao nimeshavushwa na mtu anayegundua kuwa yamenishida.
WaTz ni watu wazuri.