Leo nimegundua kitu kimoja, kuvuka barabara si kitu kidogo!

Siku zote kosa akili zote lakini ya kuvukia barabara isikukose. Hapa hata cjacheka vizur ndugu yangu. Yalinikuta cku moja hadi sikumaliza nilichokianza. Acheni tu akili nyingi mbaki na moja tu nawaambia
Tupe experience hebu
 
Wengi wanakadiria na wanaishi kwa mazoea
Kuna mwanangu mmoja siku alikuwa na gari sasa ujue akapita dada zetu wa mjini kavaa hovyo ,alikuwa napita njia ya watembea kwa miguu Mwanangu akawa anashangaa yule binti ambaye alivaa nguo za kulalia why Sipeleke gari kwenye mataro 😃 kila kitu kipo hivyo kuna mtu yupo salam kweli 😀
 
Nadhani ni vyema Sasa ukiwa unaendesha chombo chako kuzingatia wabeba boksi
Japokua Kila mtu Yuko na less zake road lakin at least ile kanuni yakuendeshana tuizingatie sana
 
Juzi kuna askari wawili wamekatishwa maisha yao kwenye haya matukio... Magari yamesimamishwa ili watembea kwa miguu wavuke...Noah imetokea ilikotokea dereva ana haraka akayavuka magari yaliyosimama mwishowe kaenda kuwagonga askari wawili ambao wote walifariki
 
Tupe experience hebu
hayo yasikie tu hakuna cha experience ndugu yangu. Nilienda ili ninunue nyumba ya kawaida sehem dar hii hii naambiwa nipak katuktuk kangu sehem tuvuke. Weee nakwambia ilibid niseme nimeanza kujickia vibaya kisa kuvuka tu had wa leo hiyo sehem ukinipeleka ati ni kuvuka bia kagar ntakwambia asante tu na nirudi.
 
Ila mleta mada una nyota nzuri. Umeleta uzi wa hivi bila kushambuliwa hapa JF?! Hold on....wachangiaji wa kwanza hawajakushambulia, wangekushambulia hao wa kwanza wanaofuata wangeunga tela kama wanavyopiga mwizi bila kujua kaiba nini.
Ameleta hoja ya kujenga siyo dharau au majigambo.
Amewakumbusha waendesha vyombo vya Moto wenzao kuheshimu watumiaji wa barabara wengine. Kujali maisha ya wanajamii wenzio.
 

Hilo eneo na mida hiyo ya saa tatu "rushing hours" , watu wanagongwa hatari pale, haipoti siku mtu hajabamizwa hapo, kidogo tuu unawekwa chini ya uvungu hapo.
 
Hilo eneo na mida hiyo ya saa tatu "rushing hours" , watu wanagongwa hatari pale, haipoti siku mtu hajabamizwa hapo, kidogo tuu unawekwa chini ya uvungu hapo.
Huu mji inawezekana watu wengi sana wanagongwa kizembe na magari ila hatufuatilii tu. Mtu hata service road hayuko salama hadi malori yanapita.
 
Huu mji inawezekana watu wengi sana wanagongwa kizembe na magari ila hatufuatilii tu. Mtu hata service road hayuko salama hadi malori yanapita.
Mimi nimewahi kuvamiwa na daladala nikiwa pembeni ya barabara nimeacha lami nipo kwenye kokoto na majani ya pembeni.
Mchana kweupe hakuna gari nyingine wala kona kali au kizuizi.
Niliangukia barabarani lamini nikakwepesha kichwa nisikanyagwe.
Nilichubuka tu.
Alikuwa slow sana.
 
Duh hatari sana.
 
Safi bora uishi
 
Pole mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…