Leo nimelia sana. Kweli Cha Mtu.... Sidhani kama nitaweza kula

Pole aiseeh 🤔ulioa chama la wana doh🤣Mke wa mtu ana wanaume wa5 pemben wanamkula kwa zamu?au alikuwa na pepo la ngono🤔🤔
 
Haiko bayana sana sio somo jepesi hata kwako japo msingi nimeelewa kuzingatia Mungu katika yote mabaya na mazuri
 
Hamna lolote jamaa atakuwa tu na kisukari kali na presha ama dalili za mwanzo za parkinson's

Robert Heriel Mtibeli
 
Very nice advice thank you very much ntaishi na hii hadi naondoka duniani
 
afu unaenda kwa mganga anakwambia dawa yake ni mpk umtafute mgosi akupige mshedede kama robo saa hv ndo utapona,hapo ndo utajua wewe ni zezeta

unakula mali sio yako na bado unaleta jeuri kama si kutafutwa kufiwra kitu gani!
 
Hongera kwa uvumilivu, ni wanaume wachache sana wanaweza kuvumilia kuona mkewe ana mahusiano na wanaume wengine na asitembeze kichapo? Yaani umemfumania na usianzishe vurugu! Wewe ni wa pekee
 
Very nice advice thank you very much ntaishi na hii hadi naondoka duniani
Mwanamke akikushinda tabia, achana nae na kaa mbali nae kabisa. Usilazimishe...la sivyo utawahi kufa siku si zako.

Atakuua kwà mikono yake ( spiritually ) .... utakufa taratibu ndani kwà ndani....na mwisho wa siku hakuna mtu atakayekuonea huruma...kwasababu kila mtu aliona na kujua kuwa huyo mwanamke hakufai lakini ukaendelea kumng'ang'ania eti kisa mna watoto/ mtoto.
 
Hongera kwa uvumilivu, ni wanaume wachache sana wanaweza kuvumilia kuona mkewe ana mahusiano na wanaume wengine na asitembeze kichapo? Yaani umemfumania na usianzishe vurugu! Wewe ni wa pekee
Wengine tuna nguvu both spiritually & physically. Unaweza kumgusa kofi Moja tu mtoto wa watu ( kidogo tu ) ,...afu ukashangaa shavu lake likaanza kuoza ndani kwà ndani.

Kumbe wewe siye ndiye uliyempiga kofi lile , bali ni Mizimu ya ukoo au Mungu. You see!

Then ukajikuta unaishia jela.

Note: Mtoto anapigwa, Mwanamke hapigwi
 
Well said, Mi niko kwenye ufalme na Dunia ya Kataa ndoa Kataa kuoa nimekula kiapo, nawapa mimba nawajengea uwezo kiuchumi walee watoto basi sitaki upuuzi
 
Ilikuchukua muda gani na muongozo wa nani kumudu hili la kuishi na ukomavu huu? How many times you probably went through chaos to achieve this milestone with emotional stability?
 
 Point
 
Uzi Umerudiwa Nomeshawahi Kusoma Hapa Jamii Forum
 
Kwani mshikaji Hakuwa Anajua Kama mgosi Ni Mtu wa Tanga
Nasemaje Watu wa Tanga sio Mchezo Mkuu
 
Ilikuchukua muda gani na muongozo wa nani kumudu hili la kuishi na ukomavu huu? How many times you probably went through chaos to achieve this milestone with emotional stability?
Baada ya kuachana na huyo mwanamke ,...nilikaa zaidi ya miaka 3 ( without relationship, without sex , without masterbation )

Nilikua nikipenda kusoma vitabu mbalimbali, like THORAH, TALMUD, QURAN , BIBLE ...lots of book ( lakini sana, nilipenda kusoma Bible & KATIBA )

I did alot of meditation

Nilifuatilja mafundisho ya viongozi mbali mbali wa dini like TB Joshua ...

Mwisho nikawa based kumsikiliza Holy Spirit ( Hapa ndipo nilipogundua mengi sana )

Note; Nilipoachana na issue za sex...niligundua vitu viwili vya ajabu sana.

1. Nilikua more attracted to women ( nilikua napata machance mengi sana ya kupiga mzigo , nikawa nakwepa )

2. Ilikua ikifika 3 au 4 months...kibubu cha testacles kilikua kinajaa ( nikawa nasikia kabisa sperms zinatembea kwenye vigoroli ) ...hali hiyo ilikua inadumu for 2 days...then utashangaa usiku umelala zinatoka zenyewe kwà kasi sana...na zinakua MBEGU nyingi sana.
View attachment 2614835
 
Hata kama ni chai bila vitu mbuwaaa inanoga tuuu...
Wanaume mjifunze hapo kuna somo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…