Leo nimemwona Mwandambo Daah! Mpaka nimelia. Nimesikitika Sana

Mkuu achana kujibizana naye katika mtindo huu, ni kama unamsaidia chaka la kujificha kutokana na huu uzi wake wa kijinga. Mshambulie kwa logic sio kwa emotions
Huyu hata kwa logic hatuwezi kwenda nae sawa maana inaonekana kichwani hazi-fit, we muulize tu mlima mrefu kuliko yote Africa kama hatotaja Mlimani City.
 
Finally, bora umesema. Nilidhani niko peke yangu aliyeliona hili
 
Huyu hata kwa logic hatuwezi kwenda nae sawa maana inaonekana kichwani hazi-fit, we muulize tu mlima mrefu kuliko yote Africa kama hatotaja Mlimani City.
Unajua nini mkuu. Unapodhalilishana naye of course inazidi kumfanya aonekane ni mtu wa hovyo ila pia hata wewe inakushushia heshima na pia inamsaidia yeye kushift attention kwenye uzi wake wa kijinga na kukufanya wewe kama scapegoat
 
Nimekusoma mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…