Leo nimepika Ndizi nyama msela mimi ni tamu mnoo

Nakazia hapaπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“Œ..
Ndizi zinataka vitunguu vya kutosha,hoho,Karoti na nyama ya kutosha tu...iwe nzuri...makorokoro mengine hayana maana yoyote..
Kwa hapa nakusikiliza wewe tu wakwetu
 
Naishi na mume,siwezi kukaa na mtu mwingine kwa sasa
Anakula nachopika mara moja moja,sidhani kama natoa boko kila siku
 
Nakazia hapaπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“Œ..
Ndizi zinataka vitunguu vya kutosha,hoho,Karoti na nyama ya kutosha tu...iwe nzuri...makorokoro mengine hayana maana yoyote..
Unawekaje masala kwenye ndizi nyama jamani? Nitakula hizo nyama tu nikuachie ndizi zako.
 
Naishi na mume,siwezi kukaa na mtu mwingine kwa sasa
Anakula nachopika mara moja moja,sidhani kama natoa boko kila siku
Kwenye comment yako umedai anajua kupika huyo huyo komaa nae akufundishe

Hasa kama amejua udhaifu wako ni kupika
 
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒTuko wote...
Ndizi inawekwa nazi sijui kuna wale wanaweka hadi giligilani...mimi hapana aiseee...
Baby girl, mimi nina version zangu 2 za ndizi nyama.
Machalari kama ya bibi yangu Kibosho na ndizi nazi, na kote sitoki katika misingi ya viungo vyetu na ni fire.

Giligilani na masala mengine ni kwenye roast la nyama, watu wanajikorogea tu hawapiki.
 
Amenichanganya ujue hapo kwenye hivyo viungo alivyo dadavua mh!
Ana hadi kikunio cha nazi maana hajatumia ya dukaniπŸ˜‚πŸ˜‚

Huyu akioa ni hatari kwa mke wake. Ndoa itapata shida sana jikoni.
Ajitahidi aoe mwanamke wa kipemba ili waende sawa
 
Huko juu kuna mtu kakwambia ushushie kilimanjaro ukajibu hutumii hiyo...hapo ndo nikajua sio wewe manake yeye hakuna kilevi alikuwa hatumii

Halafu nimeona kidole chako sio kama chake
Ndo nimeshakosa mke mimiπŸ™†
 
Aaliyyah njoo mwaya chef wangu..!!
Mtoa mada, wakati mwingine jaribu kutia njegere ama mchicha, uta enjoy zaidi..!!

Hongera kwa chakula kizuri, wenzio hawajui hata kuchemsha maji ya kuoga huko duniani..!πŸ˜‚
Hii ni personal sasaπŸ˜ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…