Leo nimepika Ndizi nyama msela mimi ni tamu mnoo

Aisee! Hongera sana. Ila hapo kwenye Nyama, Dah! Siku nyingine hebu jaribu kutumia kitimoto mwanangu halafu ulete mrejesho hapa.
 
Mwenyekiti Mbowe mitano tena
 
Jani mgomba..maarufu kama Induu😃😃
Ndiyo maana Bibi yangu anapika ndizi tamu vibaya mno....kwangu mimi hajawahi kupata mpinzani..
Machalari na kaparachichi kidogo, ukishiba unashushia na mbege kidgo 😋😋
 
Ukishaweka tui la nazi kwenye ndizi tu unaharibu kila kitu

Dah umenikumbusha machalari ya utumbo nyama. Ngoja kesho niwahi buchani
Waw! Mpendwa; ni Utumbo wa ng'ombe au mbuzi? Utumbo wa mbuzi esp. akiwa ni beberu ambaye hajahasiwa (not castrated)ni the best. Utumbo wa mbuzi una kauchachu fulan hv amazing.
 
Nani alikumenyea ndizi au una kamashine Ka kumenyea?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…