Leo nimeponea chuplichupli kupata umauti kwenye ajali

Mgonjwa umeamka? 😹😹😹
Luna79 usinambie umempa mtori mgonjwa mpaka kapata nafuu mapema hivi?!! 😹

Sasa upotoshaji uko wapi hapo nafuu wewe ulisema hujawahi kusema kama upo NY?
mimi sihishi NY tho kuna time nilienda kumtembelea rafiki yangu
 
Upo wapi sasa nije kukuona mgonjwa?
Na wifi naye anaendeleaje mana ulisema yeye alitupwa mbali kabisa..!! 😹
Acha upotoshaji
wapi nilisema nilikua na wifi ako?
 
Acha upotoshaji
wapi nilisema nilikua na wifi ako?
😹😹😹 Yule aliyetupwa nje nani?

Halafu wewe wifi huyo itakua ulimuopoa sio permanent..!!
Haiwezekani umpandishe boda mshkaki angekuwa mwenyewe OG..!!

Vipi lakini mnaendeleaje?
 
Nionyeshe sehemu nilipowahi kusema naishi marekani!
Mi nishaweka ushahidi wa uzi wako mwenyewe hayo mengine naona ni dawa walizokuchoma bado hazijatoka kichwani na ukichanganya na wenge la kurushwa kwenye boda bado hauko sawa..!!

ShesRise_1 hakikisheni mgonjwa mnampa maji mengi na matunda, bila kusahau kumpa utulivu sio mnamuhoji maswali mengi..!! 😹
 
Okay, uache upotoshaji lakini

Tofautisha kati ya mtu kusema first time na drop somewhere haimaanisha kwamba anaishi hapo.

Au kiswahili wewe ulijifunzia wapi...
 
Okay, uache upotoshaji lakini

Tofautisha kati ya mtu kusema first time na drop somewhere haimaanisha kwamba anaishi hapo.

Au kiswahili wewe ulijifunzia wapi...
Upotodhaji uko wapi? 😹

Em pona kwanza halafu tutaliongea vizuri, sasa hivi haki za wagonjwa wanaweza kunichukulia hatua kwa kukuongezea ugonjwa..!!
 
Siku hizi bajaj nao kama bodaboda tu wanaendesha kwa sifa na upumbavu mwingi sana.
Tena dereva bajaji ni hatari zaidi sababu wengi wanatokea kwenye boda, tabia zilezile anaingia nazo kwenye bajaji anasahau bodi lake kubwa kuliko boda,

Seat ya bajaji mbele sio ya kukaa abiria tujifunze kujilinda kujisimamia na kujitetea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…