Chupuchupu maana yake umekatika mikono na kuvunjika kiuno lakini uko hai.Alhamdulilah nimetoka salama nimepata mikwaruzo kidogo kwenye mikono na mguu wa kushoto niliubamiza unauma kimtindo.
Dah niliona kabsa kifo hichi hapa ila maisha yamenipa another chance.
God did!!
Hapo anazuga anaogopa alisema yupo USA 😹Ila kitendo cha kuandika hilo neno Chuplichupli kinaonyesha kua upo vizuri coz kuwaza hilo neno tu ni lazima akili namwili viwe vimetulia.
Kumbe mwenzetu ni dasiporaaa😁Anaogopa alisema yupo USA 😹
Kumbe.Hapo anazuga anaogopa alisema yupo USA 😹
Weeh diaspora wa JF wanachekesha balaa 😹Kumbe mwenzetu ni dasiporaaa😁
Wee bana uko chanika acha kutuchosha hapa..!!Mim siko marekani Niko ujerumani
Unajua kitu kinaitwa Sightseeing Tour
😹😹😹 Kweli bingwaaaaSimba bingwa🤣
🤣🤣anafeli mno bwasheeTokea uache pombe mambo Yako yanaenda mrama. Pole mkuu.
Hawa wadogo zako wanazingua sana 😹Kumbe.
Piga kelele piga kelele libase motooo🤣🤣🤣😹😹😹 Kweli bingwaaaa
😹😹 Mara nyingi tu na washkaji zako wanakuuliza vipi uko USA unawajibu shwali 😹😹Lini nimesema nipo USA acha uongo
USA river chuga🤣😹😹 Mara nyingi tu na washkaji zako wanakuuliza vipi uko USA unawajibu shwali 😹😹
Ewaaaaaahh 😹😹😹USA river chuga🤣