Umeenda vzuri sana β€οΈπ₯πΈNa ni kitu kidogo tu.
Sema wanaume weng wanazingua.
Mpenz au mke wako muheshimu, timiza mahitaj ya familia. Mpe mahitaj yake ya kimwili.
Onyesha upendo kwake na familia yake na yako.
Na hata ukiwa na mwanamke wa nje. Hakikisha hajui. Na mwanamke wa nje aheshim nafas yake.
Kuna code nying vijana hawajui.
Mkuu ngara23 kaka red black nilimpa kazi ya kunipromote niwe expert member nashukuru kwa maoni yake leo tena nimekuja hapa kuomba msaada wa jinsi ya kupost thread yangu mwenyewe cocastic,redblack,secretarybird,min me njoeni mwenyeweHakika kuacha legacy muhimu sana
π€£π€£π€£Mkuu ngara23 kaka red black nilimpa kazi ya kunipromote niwe expert member nashukuru kwa maoni yake leo tena nimekuja hapa kuomba msaada wa jinsi ya kupost thread yangu mwenyewe cocastic,redblack,secretarybird,min me njoeni mwenyewe
Too sadπ€£π€£π€£
Kwahiyo lile biti unalonichimbaga wewe komandoo wa bakabaka kumbe miyayusho besidei boi πΉπΉπΉNiliambiwa na wazazi wangu kuwa nilizaliwa April 30, 1991
Na Leo nimetimiza miaka 35
Mimi ni mme na baba, Nina watoto 2
Ni mfanyabiashara wa nafaka, mkulima na mfugaji
Nitakie heri na nishauri chochote
Natafuta mshangazi kuhusu pesa shida haipoKwahiyo lile biti unalonichimbaga wewe komandoo wa bakabaka kumbe miyayusho besidei boi πΉπΉπΉ
JF ina vituko vingi sana..!!
Nwei, happy birthday Ngara miaka mingi kwako. Uache uongo sasa ushakua soon utapokea posa kwa watoto wako..!!
Sio vitisho ni uhalisia πππ€£π€£ Duuuuh mbona vitisho
Unaonaje ukianza na dada zake babaako..!!Natafuta mshangazi kuhusu pesa shida haipo
HaaaahUnaonaje ukianza na dada zake babaako..!!
Maana hao ni zaidi ya mshangazi kaja πΉ
Nguvu za kiume πͺπͺ.
Midume mnapeana namba mnataka kwenda kufanyana vitu gani?π€..oya nyie mbona kama jau hiviNimekuchek PMπ€£
Asante sana MkuuHepi bathdei tu yuu Bradha ngara23
Jitahidi kula chakula kizuri, punguza vyakula vya mafuta, punguza matumizi ya sukari ya miwa na chumvi ya mezani, usivute sigara, usinywe pombe, punguza matumizi ya nyama nyekundu.
Kubwa kuliko vyote β βFanya Mazoezi sana ili kuongeza siku za kuona jua.