Wacha na mm nijilipueKiukweli wengine hawajaumbwa kuajiriwa, na wakiajiriwa huwa wanaona wanateseka sana, mtoa mada upo kwenye hilo kundi nakushauri fanya mpango wa kuacha kazi. Mm nipo kwenye hilo kundi, ajira yangu ya kwanza niliteseka sana, mkataba ulipoisha sikuongeza mwingine
Upo sahihi kabisaWatu wanachuo sahau ndio kinacho wakwamisha
Kazi ni msingi wa maisha
Ajira ya boss ni mtaji wako kwaajili ya ajira yako
Kazi si uliomba mwenyewe?Simkomoi mtu but nafanya kile moyo wangu unataka
Unajua binadamu tunatofautiana sana kwenye fikiraNimemshangaa huyo jamaa na comment yake hyo
Tena biashara inahitaji kujituma Mara nne zaidi ya alie ajiriwaIla pia wasisahau kwamba nidhamu ya kazi ndio msingi
Ikiwa hujitumi ukiwa umeajiriwa usidhani kwamba utakua tofauti sana na wewe ukiwa na biashara yako
Asante mkuuUpo sahihi kabisa
Mtu kaajiriwa kuamka asubuh anaona uvivu anaona ni utumwa ss biashara yake sijui ndio atakua analala huku inajiendesha yenyewe ama vipTena biashara inahitaji kujituma Mara nne zaidi ya alie ajiriwa
Mtu mvivu huwa na kauli mbaya sehemu wanazo tolea huduma maana muda mwingi anahisi anasumbuliwa kumbe ni wajibu wakeMtu kaajiriwa kuamka asubuh anaona uvivu anaona ni utumwa ss biashara yake sijui ndio atakua analala huku inajiendesha yenyewe ama vip
Kazi mbaya ukiwa nayo, ukifukuzwa ndio utajua hujui,Chezea Mshahara usichezee Kazi,
Fanya kazi kama mtumwa uje uishi kama mfalme.
Tuko wengiMi mwenyewe naona nafanya kazi ya kuto***nisha mijusi tu,ingawa mimi kesho ntaenda tena mkuu.
I was about to post this😅Jichanganye!View attachment 2260083
Na waliojiajiri kupita kusave mishahara yao wao waliwezaje? Mtaji hauwezi kutoka katika mshahara?
Mshara ni mtaji kabisa
Matumizi yako yataamua ni jinsi gani mshahara uwe mtaji
Hapa patategemea malengo yako binafsi
Maamzi yako ndio maisha yako
Mkuu toa ufafanuzi mtaji ni upi na unapatikanaje?mshahara sio mtaji, ukiwa na nia kwel ya biashara mshahara sio mtaji, biashara sio sehem ya kukimbia ugumu wa maisha, biashara is very complicated kuliko mnavodhan