Leo sijaenda kazini na sijatoa taarifa, nimechoka

Naelewa Mkuu I was kidding [emoji23]
Maisha ni kupambana mpaka siku mwili unagoma kwenda au kufanya kitu
Mbali na hapo ni kufanyishwa au kufanya mwenyewe

Majukumu hayaishi na tumbo halina shukurani yaani kila siku linataka
Nimekupata vyema mkuu kazi Iendelee
 
Mkuu kisa chako kimezidi kunifurahisha hii meme nilikutana nayo jana nadhani umeiishi vyema
 
Mkuu toa ufafanuzi mtaji ni upi na unapatikanaje?

Kama huwezi kutoa ufafanuzi basi tutakuwa tunabishana na mtu wa kusadikika kwenye ulimwengu wa utambuzi wa mambo husika

mtaji unaweza kua asset yoyote uliyonayo, lakini sio salary! mshahara unaopata ni sehem ya mapato makubwa ya biashara kubwa iliofanyika, ukiwa unafanya kazi maaana yake unapokea sehem ndogo ya faida kubwa iliopatikana!

- Ukiona unasubiria mshahara ufungue biashara basi huna imani na plan nzima ya biashara ulioandaa na unacheza safe, mfano kama biashara yako inataka mil 10 kama mtaji kama ni legit idea unaweza ingia joint venture ama unaweza chukua mkopo, hapa ndo tunasema unafanya biashara! usishangae matajiri kua na madeni ni legitimate ya biashara yao na hata wanaowakopesha wanajua wanamkopesha nani, sasa wewe tayar unasubiria mshahara ufund biashara tayar uko nje ya ecosystem
 
Utuambie pia uliacha kazi ukiwa na hali gani kiuchumi.

Unaposhawishi watu kuacha kazi, pia wape muongozo wa namna ya kusurvive nje ya kazi za kuajiriwa

Kama upo above 35 , hakuna mbadala zaidi ukiacha kazi jitahidi tu upate mshahara mzuri maaana mda mzuri wa kujenga biashara ulikua before 35
 
Mkuu bado hoja yako haishawishi

Labda kama unajua uchumi wa makaratasi

Ila uchumi halisi unahitaji uongeze kujifunza zaidi
 
Mkuu bado hoja yako haishawishi

Labda kama unajua uchumi wa makaratasi

Ila uchumi halisi unahitaji uongeze kujifunza zaidi

kama hujaelewa mpaka apo endelea na ajira tu, sahau kufanya biashara! kama utakua na hela hazina kazi jaribu kuwekeza hata dar es sakaam stock exchange MTP (onlinetrading.dse.co.tz/guest/login) maaana we na biashara bado mko mbali sana
 
Pole sana Mkuu, work burnout hio, unafanya kazi sana unaona hu accomplish vitu unavyovitaka , unaweza ukachukua likizo ili ujipe nguvu mpya au kama unaona hio kazi haikusaidii chochote waombe ufanye part time huku ukiangalia other options.
 
Mimi niliacha kazi nikawa nafanya mambo yangu kwa muda wangu. Ajira ni zaidi ya utumwa
ni utumwa wa milele akili haijitumi kufanya yako.

kimbembe kustaafu uje uyazoee mazingira ya mtaani shughuli
 
Ongeza siku mbili zaidi usikilizie !!!

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Nahitaji kitabu kinachoitwa All you need to know about music business, first to fifth edition.
 
Usirudie tena kushauri watu wachukue mkopo ili waanzishe Biashara, UNAWAPOTEZA, Mkopo chukua ili uendeleze Biashara kwani utakuwa umefika stage ya kujua Changamoto zake

Lakin mambo ya kuchukua Mkopo halafu ndio uanze Biashara hata kama ni legit idea [emoji777]
 
Kazi za kukaa kwa ofisi zinachosha, deskini kila ukiamka hadi jioni, probably unafanya kitu hicho hicho kila siku, no adventure, no kubuni, no kuchora..tiresome!

Kazi za site hazichoshi kabisa ukimalizana na hii, unatamani inayokuja coz itakuja na challenges zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…