Uko bright sana..wanaume mmebaki wakuhesabu....kama humu sijui mm mnafika 20Inabidi ubadilishe mentality yako.
Mwanamke hatakiwi kupigwa.
Badilika hayo ni mambo ya kizamani.
Kama hakutaki usilazimishe
kabisa usiruhusu hawa wadudu wakupande kichwani, wanakuona kama mwanamke mwenzao vileKwa hiyo ulitegemea nikuache ili niwe mwanamke mwenzio??
HahahahahhahahahahahaaTena wengine wakati anatamka hivyo, ANAKUTINGISHIA MANYONYO... UKUTE MWANAMKE MFUPI KIDOGO SASA...!!
Duh.....jibu KonkiSawa mie dume aya wewe jike kaagize ntakulipia mimi [emoji57][emoji57][emoji57]
Mimi mmojawapo alafu sijui ni kwaniniHii kauli ya βnipige kama wewe mwanaume kweliβ imewaponza wengi sana Ila wanawake sisi wengi wetu ni vivuruge
Nadhani washkaji wanao ona sawa kupiga wanawake wanakuwa kama na matatizo flani ya kiakili.Sawa mie dume aya wewe jike kaagize ntakulipia mimi [emoji57][emoji57][emoji57]
Na wanaume wajinga ni wale wanao endekeza tabia hovyo za namna hii tangu mapema mpaka zinaota mizizi.Hii kauli ya βnipige kama wewe mwanaume kweliβ imewaponza wengi sana Ila wanawake sisi wengi wetu ni vivuruge
Unamatani na wakuria? Bila ya kumwonyesha mahaba kwa kumtengua mguu hujampenda bado na wewe kwake ni fala tu kama mafala wengine hebu jaribu kuwa.Kwenye ndoa kuna changamoto nyingi mojawapo ambayo naomba sana dada zangu mzingatie, msilazimishe kupigwa. Please please nawaomba ile tabia ya "nipige kama wewe mwanaume kweli" si kauli nzuri...
Mimi mmojawapo alafu sijui ni kwanini
wanawake wote wana hiyo tabia anakwambia huku anakufuata....."nipige kama ww ni mwanaume kweli"hapo tayari tumezaa watoto watatu!!!!
basi mie nilimtandika wife ngumi kali ya uso japo badae nilijutia .....
nikasema sitarudia tena kumpiga mke wangu...
akinikorofisha.Moto ukiwaka huwa nasepa manake ana kidomo domo....
Nadhani washkaji wanao ona sawa kupiga wanawake wanakuwa kama na matatizo flani ya kiakili.
Kwa bahati mbaya bongo hatuna Rehab za masuala ya mahusiano.
Mimi wananiita jike, wewe wanakuita dume. Hahahahah
ππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππMtu muoga pekee ndiye anayepiga mwanamke.
Kama una uwezo kwanini usitafute wanaume wenzako mkapeana kichapo...
π₯°π₯°π₯°π₯°π₯°π₯°π₯°π₯°π₯°π₯°π₯°π₯°π₯°π₯°π₯°π₯°π₯°π₯°π₯°π₯°π₯°π₯°π₯°π₯°π₯°π₯°π₯°π₯°π₯°π₯°π₯°π₯°π₯°π₯°π₯°π₯°Niwakumbishe wanaume mwanamke asipofika kilele atakuona wewe ni dhaifu sana hakikisha anafika kilele tu
Msije nikoti vibaya.
Kilele ni ile hali ya furaha ya mwisho kabisa hakikisha humkomeshii njiani vilele viko....
Nimetoka kusoma.ile.post ambayo umemuunganisha mdada kwenye interview fulani.huyu cute yes anaonesha tu ila demigod ni jinsia ile nyingine