Leo tarehe 9 September Apple wamezindua iPhone 17 series na accessories nyingine!

Washamba na wasio na hela ndio hukimbilia kusema hivyo. Au wale ambao iPhones zimewashinda kama mimi nimeachana nayo iOS siielewi alafu mambo yangu mengi yako kwenye Android hata JF nikiwa na iPhone siitumii.
Ni kweli kabisa, ni sawa na wenye magari kuwabeza watu wa Ist na kuwapangia ni ya jinsia fulani..!!

Ushamba na sizitaki mbichi hizi..!!
 
Hilo gari basi umeumia zaidi dada Yangu, pole.... Tena kwa herufi kubwa
kuna dada mmoja nlimkuta kwenye range rover sport pale gentleman analia ndani ila kasahau kufunga kioo cha kushoto. Hio siku nlikua gambe kinoma nikamfuata nikamuuliza "Shida nn dada" akasema kwa uchungu sana "Aisee alieninunulia hii range ataniuwa mie," sikutaka kumuuliza zaidi nikampa tissue ajifute nikaondoka zangu kuelekea kitambaa cheupe kuchukua fungu langu la pisi za 2000
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…