Wengi wenu lazima muumieHivi kwanini huwa mnawazaga watu wanaomiliki iPhone wanaumia..!!
Hakuna mwanamke ambaye anaweza kununua simu mwenyewe bila ya hiyo dhana yenu??
Tunanunua magari tushindwe kitu km iPhone seriously??
Inawezekana.. Lakini mimi si masikini.Una akili za kimasikini sana
Wenye mahaba Yao ya kichina wamekujaIphone 17 looks more Chinese.. Yaani Ni Huawei Iliyoenda Marekani
Tecno Spark 40 na Iphone 17 proWenye mahaba Yao ya kichina wamekuja
WauweeeHivi kwanini huwa mnawazaga watu wanaomiliki iPhone wanaumia..!!
Hakuna mwanamke ambaye anaweza kununua simu mwenyewe bila ya hiyo dhana yenu??
Tunanunua magari tushindwe kitu km iPhone seriously??
Kwanini?Hapa tayari wameshafeli
Apple wamejitahidi kutengeneza brand. Ata wakichukua iPhone 14 wakaivalisha cover jipya watauza.
Nimeipenda 17 airSummary ya specs:
View attachment 3468635
Shida ya wanawake sio kama hawana hizo dolari 1000 za kununua simu, ni pesa ambayo mpambanaji yoyote akikaza anaweza kudunduliza. Ila shida ya wanawake wengi hawapo tayari kutumia pesa zao mfukoni kujinunulia vitu vya gharama/vizuri, wanataka wanunuliwe tu wakiamini ndio mapenzi. Kama nawaona wanavyoenda kupigwa gongo[emoji16][emoji16]Maombi please kwa wote wenye dada hasa kwa daslama na wanachuo wakike wote.
Mno mno.. hizi namba za juu ukichaji ni siku nzimaa mpaka kiza kinaingia.Simu za Apple huwa zinatunza chaji na battery zao ndogo hivyohivyo
wanakuelewa sasa? Wakat wana alosto ya kutamba na new model.kijana usifadhaishe kitema mbolea chako, hizi bei za kawaida tu
View attachment 3468966
Ila wewe 🫢🫢🫢Mi ndo boyfriend mwenyewe, vipi umeolewa? 😹
Ila hasu kwann unadhalilisha wanaume wenzio hivi? Si nilikwambia uwarudishie pumbu zao uje nikukatie kibumbu utambe nacho 😹😹
Kwanini?
Pro max zinakaa na chaji mbona.
Me nikichaji saa alfajiri, sichaji tena mpaka navyoingia kulala.
Data iko on 24/7
Na candy crush nacheza
mAh ya battery ndiyo inaamua sio aina ya simuSimu za Apple huwa zinatunza chaji na battery zao ndogo hivyohivyo
Inawezekana na wewe mmojawapo ktk kundi la kuumia sikulaumu unayajua maumivu yake..!!Wengi wenu lazima muumie