Leo tuwaenzi na kuwakumbuka wazazi wetu waliotangulia mbele za haki

R.I.P mummy and daddy
binti yenu wa pekee naendelea vizuri zaidi ya jana
haikuwa rahisi ila bado napambana
mngekuwepo ningewasimulia mengi sana yaliyojiri tangu mniache nikiwa na miaka 3
Ila ngoja nsiwachoshe...endeleeni kupumzika huko mlipo naamini kabisa mnaniombea
 
Mimi huwa sipendi sherehe zinazo nihusu kwa 7bu za kutokuwa na mzazi hata mmoja.
Kipindi ninaoa,niligoma kabisa kufanya sherehe kwani nilijua itakuwa chungu kwangu kuwaona wengine wana jimwaya mwaya ukumbini ilihali hakuna mazazi wangu,machozi yange jaa pipa.
 
Pole bff ni maumivu makali tunapitia, mimi nikiona mada km hizi nakimbia kabisa sitaki kukumbuka hapa leo nitalia Sana’a πŸ˜”πŸ˜”
 

It real pains 😒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…